Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Nasema hivi ya Sabaya yameisha anatumikia adhabu yake, watu wamefurahi wameshangilia na wamemsifu hakimu na mahakama pia.
ANGALIZO: mahakama zetu ni hizohizo ndio zinaendesha kesi ya bwana Mbowe.
Tutaendelea kusubiria hukumu yake na tuwe tayari kuipokea vyovyote vile tena kwa kushangilia kama ilivyo kuwa kwa Sabaya.
Maana sisi sote tuna imani na mahakama zetu, hivyo tuziache zifanye kazi yake tukae kimyaa.
Ukicheka sana leo ujue kuna siku utalia sana pia hayo ndio maisha yetu.