KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Roadlife. Mko safarini safari ya kwenda mbali mara unamuona dereva wako keshaanza hivi mara apige miayo au anajikunakuna mara katoa mkono nje mara kwenye kiti chake amekaa upande, yaani hatulii basi stuka mara moja mshauri apumzike, vinginevyo hamfiki mbali anawaletea matatizo na pengine mkaishia hapo.