KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Cotton zima anywe!Apumzike lakini ,Mpe maji makubwa cotton zima anywe mpaka mwisho wa safari ili ajisikie kukojoa,Mara kwa Mara kila anapo enda kukojoa ana gain new momentum
kusinzia ni dalili ya uchovu.kwanini hapumziki?Apumzike lakini ,Mpe maji makubwa cotton zima anywe mpaka mwisho wa safari ili ajisikie kukojoa,Mara kwa Mara kila anapo enda kukojoa ana gain new momentum
imagine,umelala ile unaamka uko na malaika[emoji86][emoji86][emoji86]Nakumbuka mwaka 2021 tukielekea kwenye msiba maeneo ya Misigiri-Singida.. Dereva wetu alihama kwenye lane yake ya kushoto, nilisinzia sijui ni kwa muda gani, kufungua macho kama ndoto vile, nikaona TIR la mzigo mbele yetu limewasha taa na honi juu.
Dereva kwa kuona tunakwenda kugongana uso kwa uso, akalichepusha gari pembezoni mwa barabara upande wa kulia.
Bahati yetu hakukuwa na mtaro gari likasimama bila kupinduka. Dereva wa TIR wala hakusimama! ....tukabaki salama.
Mbaya zaidi unajukuta uko na Malaika wa shetani, anakwambia zile porojo za wanawake bikora 72 ni uwongo mtupu, twende kwenye ziwa la motoimagine,umelala ile unaamka uko na malaika[emoji86][emoji86][emoji86]
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Duh, hii mkuu ilikula kichwa cha dereva wetu wa halmashauri na diwani. Dereva siku ya safari kutoka Dodoma anapiga simu kama zuzu usiku wa saa 8 na hapo ametoka kwenye mipombe, pumbavu kabisa alikufa yeye na diwani. Mwenyekiti wa kansel na DED wakanusurika!kusinzia ni dalili ya uchovu.kwanini hapumziki?
maisha ya watu sio ya kuyafanyia mzaha namna hiyo,unapewa gari ukifika ulikotakiwa unaamliwa kupumzika hotelini mara moja,ndio kwaanza unatafuta mademu,muda wa kugida mipombe,asubuhi huyo kama zombie kwenye usukani watu 60 wamelala wanakutegemea.
unaanza kubembea tu.
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Duh. HuzuniDuh, hii mkuu ilikula kichwa cha dereva wetu wa halmashauri na diwani. Dereva siku ya safari kutoka Dodoma anapiga simu kama zuzu usiku wa saa 8 na hapo ametoka kwenye mipombe, pumbavu kabisa alikufa yeye na diwani. Mwenyekiti wa kansel na DED wakanusurika!
Nikiwa nasafiri kwenda mkoani huku nadrive naweka katoni zangu tatu za maji makubwa yale.Apumzike lakini ,Mpe maji makubwa cotton zima anywe mpaka mwisho wa safari ili ajisikie kukojoa,Mara kwa Mara kila anapo enda kukojoa ana gain new momentum
Huyu aliishia wapi, alijiua au?Roadlife. Mko safarini safari ya kwenda mbali mara unamuona dereva wako keshaanza hivi mara apige miayo au anajikunakuna mara katoa mkono nje mara kwenye kiti chake amekaa upande, yaani hatulii basi stuka mara moja mshauri apumzike, vinginevyo hamfiki mbali anawaletea matatizo na pengine mkaishia hapo.
View attachment 2833862
Sana tuRoadlife. Mko safarini safari ya kwenda mbali mara unamuona dereva wako keshaanza hivi mara apige miayo au anajikunakuna mara katoa mkono nje mara kwenye kiti chake amekaa upande, yaani hatulii basi stuka mara moja mshauri apumzike, vinginevyo hamfiki mbali anawaletea matatizo na pengine mkaishia hapo.
View attachment 2833862
Hah haaHuyu aliishia wapi, alijiua au?