Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Ukichelewa kuoa au kuolewa ni NGUMU SANA kumpata mwenza mnayeendana.
Huu ni mtazamo tu wakuu japo najua kila mtu anaweza kuwa na namna yake ya kutazama mambo lakini mimi naona kama ni ngumu sana kwa wengi ya senior bachelors kupata wenza sahihi maana wale waliopaswa kuwa nao wanakuwa tayari wameoa au kuolewa kitambo na sasa wana maisha yao.
Nje ya hapo senior bachelor inabidi apate mwenza aliyeishi kwenye ndoa halafu akaacha au kuachika na hawa wengine aliowazidi umri pakubwa ambao nao wana changamoto zao sio za kitoto.
Ni sawa. sio kama ukichelewa kuoa aunkuolewa basi utakosa mtu wa kuoa au kuolewa naye, la hasha. ishu ni je utapata mtu sahihi wa kukufaa kwa umri wako?Mwanaume Chelewa kuoa lakini uwe na pesa, utaoa yeyote unae mtaka
Haulazimishwi mkuu ila sisi kama jamii tunategemea kuwa umeoa au kuolewa kama uko sawa na hauna vipingamizi mfano mapadre na masista wa baadhi ya imani wanaokatazwa kuoa au kuolewa kulingana na imani yao.Kuoa ama kuolewa ni lazima ? Mbona mnakariri maisha ? Kila mtu ajiamulie kadri atakavyoona inamfaa
Hakikaaa kabisaaaa watu wanakua na Iman potofu kuhusu ndoa kwamba lazima watu waoaneKuoa sio lazima unaweza ukaishi mwenyewe Kwa raha BIla stress na mtu yeyote.Unatumia kibunda chako mwenyewe unajitibu mwenyewe,Uhuru wako mwenyewe,kusali mwenyewe.Usiangalie mitazamo ya jamii inayolazimisha lazima uoe.
Mapema ni muda gani?Somo
====
Kama wewe ni mtu mwenye dhamira ya kuishi katika ndoa hakikisha unaoa au kuolewa mapema
kuoa na kuolewa itabaki kuwa ni dhana na mtazamo wa kijamii kama ulivyosema lakini ukweli unabaki kuwa ndio njia pekee ya kufanya binadamu tuongezeke hapa duniani. jaribu tu kufikiri dunia bila kuzaana Soft Guy tungempata wapi?Kuoa sio lazima unaweza ukaishi mwenyewe Kwa raha BIla stress na mtu yeyote.Unatumia kibunda chako mwenyewe unajitibu mwenyewe,Uhuru wako mwenyewe,kusali mwenyewe.Usiangalie mitazamo ya jamii inayolazimisha lazima uoe.
Kikubwa libeneke,. Kikubwa mapenziUkichelewa kuoa au kuolewa ni NGUMU SANA kumpata mwenza mnayeendana.
Huu ni mtazamo tu wakuu japo najua kila mtu anaweza kuwa na namna yake ya kutazama mambo lakini mimi naona kama ni ngumu sana kwa wengi ya senior bachelors kupata wenza sahihi maana wale waliopaswa kuwa nao wanakuwa tayari wameoa au kuolewa kitambo na sasa wana maisha yao.
Nje ya hapo senior bachelor inabidi apate mwenza aliyeishi kwenye ndoa halafu akaacha au kuachika na hawa wengine aliowazidi umri pakubwa ambao nao wana changamoto zao sio za kitoto.
maisha ya mtz ni miaka 50-60 maana yake ukioa au kuolewa kwenye miaka 45 una kati ya miaka 5 hadi 15 ya kumlea huyo mtoto uliemzaa. maana yake unavyochelewa zaidi kuzaa kuna uwezekano ukafa kabla hata haujamwezesha dogo kuanza class one.Kuchelewa/kuwahi ni umri gani kwani??
Ndoa hazina formulaUkichelewa kuoa au kuolewa ni NGUMU SANA kumpata mwenza mnayeendana.
Huu ni mtazamo tu wakuu japo najua kila mtu anaweza kuwa na namna yake ya kutazama mambo lakini mimi naona kama ni ngumu sana kwa wengi ya senior bachelors kupata wenza sahihi maana wale waliopaswa kuwa nao wanakuwa tayari wameoa au kuolewa kitambo na sasa wana maisha yao.
Nje ya hapo senior bachelor inabidi apate mwenza aliyeishi kwenye ndoa halafu akaacha au kuachika na hawa wengine aliowazidi umri pakubwa ambao nao wana changamoto zao sio za kitoto.
Kama huoi au kuolewa basi zaa . Wengine hawazai hivyo kupelekea wasiwasi kwa wazazi ndugu na jamaa.Kuoa ama kuolewa ni lazima ? Mbona mnakariri maisha ? Kila mtu ajiamulie kadri atakavyoona inamfaa