Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point muhimu sana,,,, ukifa uache hata chataKama huoi au kuolewa basi zaa . Wengine hawazai hivyo kupelekea wasiwasi kwa wazazi ndugu na jamaa.
Kama kweli hivi mzeee,Somo
====
Kama wewe ni mtu mwenye dhamira ya kuishi katika ndoa hakikisha unaoa au kuolewa mapema
kwaiyo ela ndio inayooa uyo mke nasio wew?Itakuwa hauna Hela tu.mwanaume ukiwa na Hela unaweza kuoa wa miaka ishirini wakati wewe ukiwa na miaka hamsini