S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 3,447 Reaction score 8,896 Jan 18, 2025 #21 Itakuwa hauna Hela tu.mwanaume ukiwa na Hela unaweza kuoa wa miaka ishirini wakati wewe ukiwa na miaka hamsini
Itakuwa hauna Hela tu.mwanaume ukiwa na Hela unaweza kuoa wa miaka ishirini wakati wewe ukiwa na miaka hamsini
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 3,607 Reaction score 9,430 Jan 18, 2025 #22 rr4 said: Kama huoi au kuolewa basi zaa . Wengine hawazai hivyo kupelekea wasiwasi kwa wazazi ndugu na jamaa. Click to expand... Point muhimu sana,,,, ukifa uache hata chata
rr4 said: Kama huoi au kuolewa basi zaa . Wengine hawazai hivyo kupelekea wasiwasi kwa wazazi ndugu na jamaa. Click to expand... Point muhimu sana,,,, ukifa uache hata chata
Benbulugu JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 852 Reaction score 1,236 Jan 19, 2025 #23 Braza Kede said: Somo ==== Kama wewe ni mtu mwenye dhamira ya kuishi katika ndoa hakikisha unaoa au kuolewa mapema Click to expand... Kama kweli hivi mzeee,
Braza Kede said: Somo ==== Kama wewe ni mtu mwenye dhamira ya kuishi katika ndoa hakikisha unaoa au kuolewa mapema Click to expand... Kama kweli hivi mzeee,
Braza Kede JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 3,840 Reaction score 6,844 Jan 19, 2025 Thread starter #24 Sappire said: Itakuwa hauna Hela tu.mwanaume ukiwa na Hela unaweza kuoa wa miaka ishirini wakati wewe ukiwa na miaka hamsini Click to expand... kwaiyo ela ndio inayooa uyo mke nasio wew?
Sappire said: Itakuwa hauna Hela tu.mwanaume ukiwa na Hela unaweza kuoa wa miaka ishirini wakati wewe ukiwa na miaka hamsini Click to expand... kwaiyo ela ndio inayooa uyo mke nasio wew?
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Jan 20, 2025 #25 Huu Uzi unawahusu wanawake zaidi kuliko wanaume