Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,977
Watu wangu acheni kulalamika ovyo, hii SGR si daladala ya Mbagala! Mkurugenzi kaamua kuweka viwango kama vya Ulaya, siyo za 'vipeto vya mahindi' wala kuku kubebwa.Kama unataka kubeba kila kitu, panda gari lako bwana au panda shabiby kuna uzi mtu huma analalamika ku rap mzigo sasa nani ataka kusikia miharafu ya samaki sheria ukifika rap mzigo wako hutak kapande basi
Mimi ni moja watu wa kwanza kabisa kutumia mradi wa mwendo kasi 2016 ilikuwa standard za ulaya una kadi kila mtu anakaa kwenye siti watu tukaacha magari nyumbani sasa hivi ule mradi walicheza na nyani uko na hadhi za mbaga sasa hivi hakuna uzungu tena wala ustaarabu .sasa kuna majitu yanalalamikia sgr inavyoweka standard wanataka mambo ya kiswahili hutak panda treni la waha ka kigoma asee mkurungezi ongeza viwango na usishushe viwango
Hii SGR ni kama ndege – unaenda kisomi, unakaa vizuri, hakuna fujo wala harufu ya samaki wa kukaanga kwenye viti. Kama kawaida yenu, mnapenda kukoroga kila mradi hadi unakuwa kama vichochoro vya Buguruni. Safari hii, hamtoboi! Umeshindwa nunua gari lako kila mradi wa kitanzania mnakoroga na uswahili wenu
Mkurugenzi anawakazia! Anachukua standard za Japani, anakopi na kupaste hapa – siyo kusikiliza maneno ya 'waha na wamasai' wanaotaka kubeba kila mzigo hadi tren ya SGR iwe kama ya waha Kigoma reli ya kati , mikuku miyai mbuzi ndani
Mkurungezi wa trc nakusiii sana usisikilize mtu linapokuja swala viwango hata yule aliyeandika asubuhi uzi wa kulalamika kurap nae ni walewale kubeba masamaki kwenye treni achana nae
Kama hujui kufuata utaratibu, kaa nyumbani. Hii ni reli ya mwendo kasi bwana, siyo bodaboda ya mtaani!"