Lech Poznan
JF-Expert Member
- Jul 3, 2025
- 783
- 1,211
Mkuu si kuna teni ya mizigo kama abiria ana mabegi makubwa kuna sehemu zake za kuweka, Tatizo ni Serikali yetu kununua treni used lakini kama wangenunua treni mpya kutoka kiwandani tungepata full package, Sasa hivi serikali inaleta treni kwa awamu awamu yani mpaka uko yanapotoka Agent ayaokote okote yakitimia atuletee.KWenye ndege watu hawaingiahi na mizigo? ishu sio kuingua na miziho ishu ni uhifadhi wa hio mizigo. Sasa SGR ifike mwanza watu wasipande na dagaa na Samaki?