Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,977
Sio rap ni wrapanalalamika ku wrap mzigo sasa nani ataka kusikia miharafu ya samaki sheria ukifika wrap mzigo wako hutak kapande basi
Ndo shida yetu hata mwendokasi hivyo hvyo walivyomtoa maxmalipo kucontrol malipo wizi ukaanzaUsishangae!,baadae utasikia mwanasiasa anatoa matamko kuwafurahisha hao wasio fuata utaratibu uliokusudiwa na SGR.!
Asante kingereza kina mengiSio rap ni wrap
rap ni kufokafoka
Mlitwambia SGR lengo lake sio abiria bali mizigo kutoka viwandabi na bandariniSGR IONGEZE MASHARTI. KU WRAP MZIGO MUST NA. USIZID KILG 20 NA USIKAE CHINI YA SITI.
Hii inaweza kutafsirika kulinganana na mtazamo wa mtu na aina ya Malezi,makuzi, utamaduni na silka ya watumiaji wa SGR, kuhusu mwendokasi hili halina ubishi ni mradi ulio na kasoro nyingi na kinaishi.Watu wangu acheni kulalamika ovyo, hii SGR si daladala ya Mbagala! Mkurugenzi kaamua kuweka viwango kama vya Ulaya, siyo za 'vipeto vya mahindi' wala kuku kubebwa kwa kichwa. Kama unataka kubeba kila kitu, panda gari lako bwana au panda shabiby kuna uzi mtu huma analalamika ku rap mzigo sasa nani ataka kusikia miharafu ya samaki sheria ukifika rap mzigo wako hutak kapande basi
Mimi ni moja watu wa kwanza kabisa kutumia mradi wa mwendo kasi 2016 ilikuwa standard za ulaya una kadi kila mtu anakaa kwenye siti watu tukaacha magari nyumbani sasa hivi ule mradi walicheza nyani uko na hadhi za mbaga sasa hivi hakuna uzungu tena wala ustaarabu .sasa kuna majitu yanalalamikia sgr inavyoweka standard wanataka mambo ya kiswahili hutak panda treni la waha ka kigoma asee mkurungezi ongeza viwango na usishushe viwango
Hii SGR ni kama ndege – unaenda kisomi, unakaa vizuri, hakuna fujo wala harufu ya samaki wa kukaanga kwenye viti. Kama kawaida yenu, mnapenda kukoroga kila mradi hadi unakuwa kama vichochoro vya Buguruni. Safari hii, hamtoboi! Umeshindwa nunua gari lako kila mradi wa kitanzania mnakoroga na uswahili wenu
Mkurugenzi anawakazia! Anachukua standard za Japani, anakopi na kupaste hapa – siyo kusikiliza maneno ya 'waha na wamasai' wanaotaka kubeba kila mzigo hadi tren ya SGR iwe kama ya waha Kigoma reli ya kati , mikuku miyai mbuzi ndani
Mkurungezi wa trc nakusiii sana usisikilize mtu linapokuja swala viwango hata yule aliyeandika asubuhi uzi wa kulalamika kurap nae ni walewale kubeba masamaki kwenye treni achana nae
Kama hujui kufuata utaratibu, kaa nyumbani. Hii ni reli ya mwendo kasi bwana, siyo bodaboda ya mtaani
Sasa ndo uende na mzigo unanuka unaambiwa wrap na nailon unakuja kuandika uzi jeifu eti barua kwa mkurungezi .....si umeona ule uzi asubuhiMlitwambia SGR lengo lake sio abiria bali mizigo kutoka viwandabi na bandarini
Hahaha kumbe? Wanakosea sana. Usafiri ni starehe wasituletee mizogo kwenye Sgr yetuSasa ndo uende na mzigo unanuka unaambiwa wrap na nailon unakuja kuandika uzi jeifu eti barua kwa mkurungezi .....si umeona ule uzi asubuhi
Kwenye airtanzania huwa unaingia na maji ya kunywa si unayakuta huko huko ..... umejenga kwa kodi yako ile ni mali umma fuata utaratibu hutak panda basi na mimaji yakoKwani Kuna ubaya Gani kuingia na maji yangu ya kunywa?Sgr mmeijenga Kwa Hela yangu(kodi mnayonikamua) halafu mnanipangia namna ya kusafiri.Hii siyo haki kabisa kumzuia mtu asiingie na maji yake.kama ni sababu ya kiusalama Kwa Nini mnatuuzia tukipanda humo kwenye sgr yangu? Sgr siyo ndege Bali imejengwa Kwa lengo la kusaidia watanzania na siyo kuwasumbua fullstop
Umesahau mahindi ya kuchemsha na vitoroUstaarabu na Mtanzania ni Mbingu na ardhi wanataka kuingia na miwa, karanga na mayai kwenye SGR😀
Issue sio mizigo ni utaratibu wa kufungasha hiyo mizigo ningependa waongeze masharti zaidi TRAIN iwe clean and neatKWenye ndege watu hawaingiahi na mizigo? ishu sio kuingua na miziho ishu ni uhifadhi wa hio mizigo. Sasa SGR ifike mwanza watu wasipande na dagaa na Samaki?
Panda Bus AU Train ya mwakyembe mkuuKwani Kuna ubaya Gani kuingia na maji yangu ya kunywa?Sgr mmeijenga Kwa Hela yangu(kodi mnayonikamua) halafu mnanipangia namna ya kusafiri.Hii siyo haki kabisa kumzuia mtu asiingie na maji yake.kama ni sababu ya kiusalama Kwa Nini mnatuuzia tukipanda humo kwenye sgr yangu?.Nitayaamini vip maji yenu ni salama? Sgr siyo ndege Bali imejengwa Kwa lengo la kusaidia watanzania na siyo kuwasumbua fullstop