Sio Qatar, wala Emirates, wala Oman, wala Lufthansa, wala British, wala France, wala Ethiopian, wala ATCL, wala KQ, wala American, wala Qantas, Turkish, to mention few ambako abiria hulazimishwa kufunga mizigo kwa plastic!Watu wangu acheni kulalamika ovyo, hii SGR si daladala ya Mbagala! Mkurugenzi kaamua kuweka viwango kama vya Ulaya, siyo za 'vipeto vya mahindi' wala kuku kubebwa.Kama unataka kubeba kila kitu, panda gari lako bwana au panda shabiby kuna uzi mtu huma analalamika ku rap mzigo sasa nani ataka kusikia miharafu ya samaki sheria ukifika rap mzigo wako hutak kapande basi
Mimi ni moja watu wa kwanza kabisa kutumia mradi wa mwendo kasi 2016 ilikuwa standard za ulaya una kadi kila mtu anakaa kwenye siti watu tukaacha magari nyumbani sasa hivi ule mradi walicheza na nyani uko na hadhi za mbaga sasa hivi hakuna uzungu tena wala ustaarabu .sasa kuna majitu yanalalamikia sgr inavyoweka standard wanataka mambo ya kiswahili hutak panda treni la waha ka kigoma asee mkurungezi ongeza viwango na usishushe viwango
Hii SGR ni kama ndege – unaenda kisomi, unakaa vizuri, hakuna fujo wala harufu ya samaki wa kukaanga kwenye viti. Kama kawaida yenu, mnapenda kukoroga kila mradi hadi unakuwa kama vichochoro vya Buguruni. Safari hii, hamtoboi! Umeshindwa nunua gari lako kila mradi wa kitanzania mnakoroga na uswahili wenu
Mkurugenzi anawakazia! Anachukua standard za Japani, anakopi na kupaste hapa – siyo kusikiliza maneno ya 'waha na wamasai' wanaotaka kubeba kila mzigo hadi tren ya SGR iwe kama ya waha Kigoma reli ya kati , mikuku miyai mbuzi ndani
Mkurungezi wa trc nakusiii sana usisikilize mtu linapokuja swala viwango hata yule aliyeandika asubuhi uzi wa kulalamika kurap nae ni walewale kubeba masamaki kwenye treni achana nae
Kama hujui kufuata utaratibu, kaa nyumbani. Hii ni reli ya mwendo kasi bwana, siyo bodaboda ya mtaani!"
Hao wanaopanda hayo madege ni sawa na hawa wamakonde wanaonunua samaki nangurukuru, waha wanaobeba kuku kwenye matenga na wagogo wanaobeba karanga kwenye carrier za kwenye mabus, Bongo ustaarabu zero bila control SGR haimalizi mwaka.Sio Qatar, wala Emirates, wala Oman, wala Lufthansa, wala British, wala France, wala Ethiopian, wala ATCL, wala KQ, wala American, wala Qantas, Turkish, to mention few ambako abiria hulazimishwa kufunga mizigo kwa plastic!
It's optional kwa anayetaka sembuse SGR! Hebu eleweni hoja!
Hahaha,mnapenda kukoroga kila mradi hadi unakuwa kama vichochoro vya Buguruni. Safari hii, hamtoboi!
Wanasiasa wakiwa majukwaani wanasema wanaposifia huo mradi wanasema umejengwa kwa kodi za watanzania wanyonge. Sasa mnyonge na standard za ulaya wapi na wapi? Mkitaka fuateni standard za ulaya, ila wakanyeni wanasiasa wasiongee hadaa za kuonyesha hiyo treni ni kwa ajili ya kila mtanzania.Watu wangu acheni kulalamika ovyo, hii SGR si daladala ya Mbagala! Mkurugenzi kaamua kuweka viwango kama vya Ulaya, siyo za 'vipeto vya mahindi' wala kuku kubebwa.Kama unataka kubeba kila kitu, panda gari lako bwana au panda shabiby kuna uzi mtu huma analalamika ku rap mzigo sasa nani ataka kusikia miharafu ya samaki sheria ukifika rap mzigo wako hutak kapande basi
Mimi ni moja watu wa kwanza kabisa kutumia mradi wa mwendo kasi 2016 ilikuwa standard za ulaya una kadi kila mtu anakaa kwenye siti watu tukaacha magari nyumbani sasa hivi ule mradi walicheza na nyani uko na hadhi za mbaga sasa hivi hakuna uzungu tena wala ustaarabu .sasa kuna majitu yanalalamikia sgr inavyoweka standard wanataka mambo ya kiswahili hutak panda treni la waha ka kigoma asee mkurungezi ongeza viwango na usishushe viwango
Hii SGR ni kama ndege – unaenda kisomi, unakaa vizuri, hakuna fujo wala harufu ya samaki wa kukaanga kwenye viti. Kama kawaida yenu, mnapenda kukoroga kila mradi hadi unakuwa kama vichochoro vya Buguruni. Safari hii, hamtoboi! Umeshindwa nunua gari lako kila mradi wa kitanzania mnakoroga na uswahili wenu
Mkurugenzi anawakazia! Anachukua standard za Japani, anakopi na kupaste hapa – siyo kusikiliza maneno ya 'waha na wamasai' wanaotaka kubeba kila mzigo hadi tren ya SGR iwe kama ya waha Kigoma reli ya kati , mikuku miyai mbuzi ndani
Mkurungezi wa trc nakusiii sana usisikilize mtu linapokuja swala viwango hata yule aliyeandika asubuhi uzi wa kulalamika kurap nae ni walewale kubeba masamaki kwenye treni achana nae
Kama hujui kufuata utaratibu, kaa nyumbani. Hii ni reli ya mwendo kasi bwana, siyo bodaboda ya mtaani!"
Isitoshe, watu wakumbushwe tu SGR ya mizigo ishaanza kazi pia. Kwa hiyo kama ana mzigo wa uzito wa kutosha kukarahisha wengine anaweza kutanguliza mzigo wake kwa train ya mizigo, naye akapanda ya abiria.Sasa ndo uende na mzigo unanuka unaambiwa wrap na nailon unakuja kuandika uzi jeifu eti barua kwa mkurungezi .....si umeona ule uzi asubuhi
Unajua kinachoongelewa? Hapa hauongelewi muziki.Watu wangu acheni kulalamika ovyo, hii SGR si daladala ya Mbagala! Mkurugenzi kaamua kuweka viwango kama vya Ulaya, siyo za 'vipeto vya mahindi' wala kuku kubebwa.Kama unataka kubeba kila kitu, panda gari lako bwana au panda shabiby kuna uzi mtu huma analalamika ku rap mzigo sasa nani ataka kusikia miharafu ya samaki sheria ukifika rap mzigo wako hutak kapande basi
Mimi ni moja watu wa kwanza kabisa kutumia mradi wa mwendo kasi 2016 ilikuwa standard za ulaya una kadi kila mtu anakaa kwenye siti watu tukaacha magari nyumbani sasa hivi ule mradi walicheza na nyani uko na hadhi za mbaga sasa hivi hakuna uzungu tena wala ustaarabu .sasa kuna majitu yanalalamikia sgr inavyoweka standard wanataka mambo ya kiswahili hutak panda treni la waha ka kigoma asee mkurungezi ongeza viwango na usishushe viwango
Hii SGR ni kama ndege – unaenda kisomi, unakaa vizuri, hakuna fujo wala harufu ya samaki wa kukaanga kwenye viti. Kama kawaida yenu, mnapenda kukoroga kila mradi hadi unakuwa kama vichochoro vya Buguruni. Safari hii, hamtoboi! Umeshindwa nunua gari lako kila mradi wa kitanzania mnakoroga na uswahili wenu
Mkurugenzi anawakazia! Anachukua standard za Japani, anakopi na kupaste hapa – siyo kusikiliza maneno ya 'waha na wamasai' wanaotaka kubeba kila mzigo hadi tren ya SGR iwe kama ya waha Kigoma reli ya kati , mikuku miyai mbuzi ndani
Mkurungezi wa trc nakusiii sana usisikilize mtu linapokuja swala viwango hata yule aliyeandika asubuhi uzi wa kulalamika kurap nae ni walewale kubeba masamaki kwenye treni achana nae
Kama hujui kufuata utaratibu, kaa nyumbani. Hii ni reli ya mwendo kasi bwana, siyo bodaboda ya mtaani!"
Panda basi mkuu na masamaki yakoKWenye ndege watu hawaingiahi na mizigo? ishu sio kuingua na miziho ishu ni uhifadhi wa hio mizigo. Sasa SGR ifike mwanza watu wasipande na dagaa na Samaki?
Wakiruhisu maji tu,kuna watu wataingia na togwa kwenye chupa, au konyagi ,kama pini ni pini tu😀Kwenye airtanzania huwa unaingia na maji ya kunywa si unayakuta huko huko ..... umejenga kwa kodi yako ile ni mali umma fuata utaratibu hutak panda basi na mimaji yako
😂🤣😂🤣😂😁hutak panda treni la waha ka kigoma asee mkurungezi ongeza viwango na usishushe viwango
Fuata tararibu kama hutaki panda basi. Viwango lazima vizingatiwe. Tena mimi naona hawajakaza vizuri.Kwani Kuna ubaya Gani kuingia na maji yangu ya kunywa?Sgr mmeijenga Kwa Hela yangu(kodi mnayonikamua) halafu mnanipangia namna ya kusafiri.Hii siyo haki kabisa kumzuia mtu asiingie na maji yake.kama ni sababu ya kiusalama Kwa Nini mnatuuzia tukipanda humo kwenye sgr yangu?.Nitayaamini vip maji yenu ni salama? Sgr siyo ndege Bali imejengwa Kwa lengo la kusaidia watanzania na siyo kuwasumbua fullstop
Kama yule aliyetangaza machinga wafanye biashara yoyote popote...Na watu wanamshangilia eti alikuwa geniusUsishangae!,baadae utasikia mwanasiasa anatoa matamko kuwafurahisha hao wasio fuata utaratibu uliokusudiwa na SGR.!
Japo mi shabiki yake sana ila nae alileta usukuma alichafua posta mama ntile wakawa wanasonga maugali pembeni ya bara bara za postaKama yule aliyetangaza machinga wafanye biashara yoyote popote...Na watu wanamshangilia eti alikuwa genius
kuna mwana aliweka kibanda cha kupima zile pombe za visungura na kiroba karibu na juction ya ardhi na utumish na akawa analala mle mleJapo mi shabiki yake sana ila nae alileta usukuma alichafua posta mama ntile wakawa wanasonga maugali pembeni ya bara bara za posta
MTu mweusi stahili yake ni UTUMWA TU.Watu wangu acheni kulalamika ovyo, hii SGR si daladala ya Mbagala! Mkurugenzi kaamua kuweka viwango kama vya Ulaya, siyo za 'vipeto vya mahindi' wala kuku kubebwa.Kama unataka kubeba kila kitu, panda gari lako bwana au panda shabiby kuna uzi mtu huma analalamika ku rap mzigo sasa nani ataka kusikia miharafu ya samaki sheria ukifika rap mzigo wako hutak kapande basi
Mimi ni moja watu wa kwanza kabisa kutumia mradi wa mwendo kasi 2016 ilikuwa standard za ulaya una kadi kila mtu anakaa kwenye siti watu tukaacha magari nyumbani sasa hivi ule mradi walicheza na nyani uko na hadhi za mbaga sasa hivi hakuna uzungu tena wala ustaarabu .sasa kuna majitu yanalalamikia sgr inavyoweka standard wanataka mambo ya kiswahili hutak panda treni la waha ka kigoma asee mkurungezi ongeza viwango na usishushe viwango
Hii SGR ni kama ndege – unaenda kisomi, unakaa vizuri, hakuna fujo wala harufu ya samaki wa kukaanga kwenye viti. Kama kawaida yenu, mnapenda kukoroga kila mradi hadi unakuwa kama vichochoro vya Buguruni. Safari hii, hamtoboi! Umeshindwa nunua gari lako kila mradi wa kitanzania mnakoroga na uswahili wenu
Mkurugenzi anawakazia! Anachukua standard za Japani, anakopi na kupaste hapa – siyo kusikiliza maneno ya 'waha na wamasai' wanaotaka kubeba kila mzigo hadi tren ya SGR iwe kama ya waha Kigoma reli ya kati , mikuku miyai mbuzi ndani
Mkurungezi wa trc nakusiii sana usisikilize mtu linapokuja swala viwango hata yule aliyeandika asubuhi uzi wa kulalamika kurap nae ni walewale kubeba masamaki kwenye treni achana nae
Kama hujui kufuata utaratibu, kaa nyumbani. Hii ni reli ya mwendo kasi bwana, siyo bodaboda ya mtaani!"
Tatizo hata sio watanzania tatizo ni mafisiemu. Wao sheria kama.hizo hawazifuati na pesa za miradi wana chota tu. Sasa unategemea miradi iwe na ufanisi. ..? Hiyo sgr tunaipa miaka 3 mpaka 5 mbele hakuna kitu tena.Watu wangu acheni kulalamika ovyo, hii SGR si daladala ya Mbagala! Mkurugenzi kaamua kuweka viwango kama vya Ulaya, siyo za 'vipeto vya mahindi' wala kuku kubebwa.Kama unataka kubeba kila kitu, panda gari lako bwana au panda shabiby kuna uzi mtu huma analalamika ku rap mzigo sasa nani ataka kusikia miharafu ya samaki sheria ukifika rap mzigo wako hutak kapande basi
Mimi ni moja watu wa kwanza kabisa kutumia mradi wa mwendo kasi 2016 ilikuwa standard za ulaya una kadi kila mtu anakaa kwenye siti watu tukaacha magari nyumbani sasa hivi ule mradi walicheza na nyani uko na hadhi za mbaga sasa hivi hakuna uzungu tena wala ustaarabu .sasa kuna majitu yanalalamikia sgr inavyoweka standard wanataka mambo ya kiswahili hutak panda treni la waha ka kigoma asee mkurungezi ongeza viwango na usishushe viwango
Hii SGR ni kama ndege – unaenda kisomi, unakaa vizuri, hakuna fujo wala harufu ya samaki wa kukaanga kwenye viti. Kama kawaida yenu, mnapenda kukoroga kila mradi hadi unakuwa kama vichochoro vya Buguruni. Safari hii, hamtoboi! Umeshindwa nunua gari lako kila mradi wa kitanzania mnakoroga na uswahili wenu
Mkurugenzi anawakazia! Anachukua standard za Japani, anakopi na kupaste hapa – siyo kusikiliza maneno ya 'waha na wamasai' wanaotaka kubeba kila mzigo hadi tren ya SGR iwe kama ya waha Kigoma reli ya kati , mikuku miyai mbuzi ndani
Mkurungezi wa trc nakusiii sana usisikilize mtu linapokuja swala viwango hata yule aliyeandika asubuhi uzi wa kulalamika kurap nae ni walewale kubeba masamaki kwenye treni achana nae
Kama hujui kufuata utaratibu, kaa nyumbani. Hii ni reli ya mwendo kasi bwana, siyo bodaboda ya mtaani!"
kama lengo ni hilo basi na sisi watanzania tuisaidie TRC kuitunza SGR ili itufae sisi na vizazi vyetuKwani Kuna ubaya Gani kuingia na maji yangu ya kunywa?Sgr mmeijenga Kwa Hela yangu(kodi mnayonikamua) halafu mnanipangia namna ya kusafiri.Hii siyo haki kabisa kumzuia mtu asiingie na maji yake.kama ni sababu ya kiusalama Kwa Nini mnatuuzia tukipanda humo kwenye sgr yangu?.Nitayaamini vip maji yenu ni salama? Sgr siyo ndege Bali imejengwa Kwa lengo la kusaidia watanzania na siyo kuwasumbua fullstop