Ukicheza Na Nyani, SGR Itageuka kama mwendo kasi mkurungezi TRC Kaza mtu hataki apande bus

KWenye ndege watu hawaingiahi na mizigo? ishu sio kuingua na miziho ishu ni uhifadhi wa hio mizigo. Sasa SGR ifike mwanza watu wasipande na dagaa na Samaki?
Mkuu si kuna teni ya mizigo kama abiria ana mabegi makubwa kuna sehemu zake za kuweka, Tatizo ni Serikali yetu kununua treni used lakini kama wangenunua treni mpya kutoka kiwandani tungepata full package, Sasa hivi serikali inaleta treni kwa awamu awamu yani mpaka uko yanapotoka Agent ayaokote okote yakitimia atuletee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…