Ukichoka na Mishe za Mjini Dar, Kajipumzishe Pugu “Ushoroba”

Nmefurahi kwamba mnaweza nyanduana na mpenzi wako nmeshukuru kwa kweli ntaenda
Unajikunja kumkaza mtoto wa mtu machakani anapita Cobra sijui Black Mamba wa kizaramo anakutia meno unabaki unagaragara.

Usisahau kuna mdau amesema alipita hapo akaona msitu umezidi kufunga so take care chief.
 
Naaaaaaam !

Nilifanikiwa kufika eneo hilo,hakika nilifurahia mazingira pamoja na usalama siku 2 nilizofanikiwa kuwepo hapo.

Likizo ilienda salama kabisa!Next time nitatia mguu na team yangu ngoja niishawishi uzuri wa Tanzania .
 
Nilikua church hapo nisingeweza kukunja.. Btw sipendi kukunja suruali but.. Nitafanya hivo
Kwa mara ya kwanza nimeshawishika kutafuta izi za chini. Ngoja nitajaribu muundo huo.
 
Yesss... Ukizingatia gharama zake na enjoyment unayopata, aisee naona kabisa pesa inaenda bila kuibiwa.

Congratulations kwa kucamp. Washkaji nikiwaambiaga tuka camp wanasema hawawezi kwenda kulala porini bora wakalale kitambaa.
 
Napapitaga nikiwa naenda maeneo ya kisarawe kumbe huko ndani ndani kuna utalii mzuri tuu
 
Napapitaga nikiwa naenda maeneo ya kisarawe kumbe huko ndani ndani kuna utalii mzuri tuu
Siku ukiwa ata na 2 hours na 20k jaribu kuingia. Na kama una familia wapeleke, wataenjoy kiasi chake.
 
Yesss... Ukizingatia gharama zake na enjoyment unayopata, aisee naona kabisa pesa inaenda bila kuibiwa.

Congratulations kwa kucamp. Washkaji nikiwaambiaga tuka camp wanasema hawawezi kwenda kulala porini bora wakalale kitambaa.
Shukrani sana,hawa binadamu wanaonizunguka tatizo vitambi vimewajaa sanaaaaa!
Wanaitamani Tanzania+ kilimanjaro Mt ila kupanda vimiinuko ndio changamoto sijui kama huko watakubali.
 
Mad Max Mwanang nimesoma minaki advance, huko chini tulikuwa tunaenda sana nimezurura sana huko chini, tena kipindi hicho hio project ilikuwa bado haijaanza kwaio tulikuwa tunaenda tuu bure hamna wa kutuuliza, asaiv eti nikisikia watu sikuiz wanaenda huko kwa kulipia nashangaa sana, sema ndo hivo mabadiliko serikali imeona i-monetize hilo eneo.

Nakumbuka tulivomaliza necta tulienda huko chini kweny hio Dam tukaogelea(japo mm sikuogelea niliogopa mamba) na kuzurura(japo nilikuwa na mashaka kwasababu huo msibu una chatu wa kutosha)

Huko chini tulikuwa tunaenda kutafuta vyura wa kufanyia practical za biology
😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…