Ukichoka na Mishe za Mjini Dar, Kajipumzishe Pugu “Ushoroba”

Dah memories mzee.

Sahivi pamekua chanzo cha pesa na ajira kwa watu wengi sana. Yaani kama unaweza siku jaribisha kwenda tena, kama una familia kawaoneshe.

Una memories mzee fanya ukiwa free utembelee dah
 
1. Simu unayotumia ni ya bei rahisi tafuta simu kali uwe na picha zenye mwonekano mzuri
2. Unapenda Jordan tafuta pesa ununue ya ukweli hiyo umevaa famba.

Kwa haraka haraka nimeona hayo mawili tu.
 
Usijali mzee, ahsante uzi wako umenikumbusha mengi sana, umeni inspire nirudi minaki nikasalimie na lazima ntapita huko nione mabadiliko, siwez sahau minaki na kazimzumbwi, muda niliokaa umenifundisha mambo mengi sana (huwez nielewa kama maisha yako yote umekulia dar kama mm, ukienda kuishi sehemu zenye misitu mikubwa kama hio unapishana na nyoka na kenge kuna namna flani hv perception ya maisha inabadilika)
 
Yesss... Ukizingatia gharama zake na enjoyment unayopata, aisee naona kabisa pesa inaenda bila kuibiwa.

Congratulations kwa kucamp. Washkaji nikiwaambiaga tuka camp wanasema hawawezi kwenda kulala porini bora wakalale kitambaa.
Ukiwa na tent zako ghalama zake zipoje?? Ku camp usiku wote kwa wiki nzima? Sehemu ya kuoga na mambo mengine je
 
1. Simu unayotumia ni ya bei rahisi tafuta simu kali uwe na picha zenye mwonekano mzuri
2. Unapenda Jordan tafuta pesa ununue ya ukweli hiyo umevaa famba.

Kwa haraka haraka nimeona hayo mawili tu.
Even in China there are many knockoff like;
Hemas instead of Hermes
Laos Vuitton instead of Louis Vuitton
Mika Jordana instead of Nike Jordan
 
Ukiwa na tent zako ghalama zake zipoje?? Ku camp usiku wote kwa wiki nzima? Sehemu ya kuoga na mambo mengine je
Ukiwa na tent unalipia ulinzi na viingilio. Utasave karibia nusu bei.

Pia nilisahau kusema kama unataka kucamp weka reservation mapema. Wana matent machache.
 
Asante sana kwa taarifa mkuu
 
1. Simu unayotumia ni ya bei rahisi tafuta simu kali uwe na picha zenye mwonekano mzuri
2. Unapenda Jordan tafuta pesa ununue ya ukweli hiyo umevaa famba.

Kwa haraka haraka nimeona hayo mawili tu.
🤣🤣🤣 Pixel 4 sijui 200k ila kanajitahidi kupiga picha.
 
BADO tukipata Rais anaejua na kupenda mambo mazuri ataipanga Dar vizuri ila hawa akina marope hawa duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…