Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
- Thread starter
-
- #41
Mke akiona hii mwamba amekwisha,na ukute ameaga yupo Safarini Kigoma[emoji1]kumbe yupo Buza[emoji23][emoji23][emoji23]
Wenyewe wanaona ndo mapenzi,ukimnunulia chakula lazima akipige picha....Hii mambo kuimba imba kujipost naona utoto wa hali ya juu sana, sijui watu wanawezaje.....[emoji119]
Vijana na ujana wao
DaslamDuuh...
Huko ni wapi??
Ushamba huoWenyewe wanaona ndo mapenzi,ukimnunulia chakula lazima akipige picha....
Muache sio vizuri,mtavunja ndoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakomeeeee, Lol
JAMAAA KAKAA KAMA ZILE MAITI ZA GHANA ZIKIWA ZINAAGWAAUzi tayari View attachment 3089438
[emoji1][emoji1][emoji1] dereva yupo hoiJAMAAA KAKAA KAMA ZILE MAITI ZA GHANA ZIKIWA ZINAAGWAA
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli mnaendana na mnapendana
ππ sema umeona le mtindizz mkubwa wa kazi?Muonekano wake tu unamtambulisha huyu ni mwanamke wa ainagani.
Mwanaume mdadisi hawezi thubutu hata kuwa na mazowea na hawa akina Mwa J
NAKAZIAMuonekano wake tu unamtambulisha huyu ni mwanamke wa ainagani.
Mwanaume mdadisi hawezi thubutu hata kuwa na mazowea na hawa akina Mwa J
Maradhi yangu hayo shekh...πππ sema umeona le mtindizz mkubwa wa kazi?
Huko mjini daslamMnawatoaga wapi