Manyara- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote
Umesahau dodoma Ukipata 10k kwa siku yote inaishia sokoniIeleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-
- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote
Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
lahisi-rahisiUmeongea pumba mikoa yote iliyoko mipakani ni lahisi sana kutoboa nilikuwa Bukoba watu wanapiga ela sana kupitia mpaka wa mtukula
Itifaki imezingatiwa
Na hapo nimejitaidi sanalahisi-rahisi
ela-hela
iliyoko-iliyopo
Hakuna itifaki iliyozingatiwa hapa mkuu!
Mkuu upo sahihi kabisa hata Mimi niliwaza hivyo.
Tatizo la kigoma ni connection na mikoa mingine, tatizo la kilimanjaro ni aina ya wakaazi, wako very conservative na kila fursa wanaimudu, tatizo la arusha ni ukora na uhuniMkuu upo sahihi kabisa hata Mimi niliwaza hivyo.
Mikoa Kama ya Lindi na mtwara inaingilika kirahisi na pia ni rahisi kuwashawishi watu wake ukiwa na biashara.
Hata ukinunua korosho tu tayar ni dili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu kule kaskazini Mimi nimekaa yaani kila mtu ni mjuaji na ukabila sana yaani Kama si mwenyeji wa kule hata ukipata kibarua watu wanaumia na kukufanyia figisu makusudi ili ushindwe.Tatizo la kigoma ni connection na mikoa mingine, tatizo la kilimanjaro ni aina ya wakaazi, wako very conservative na kila fursa wanaimudu, tatizo la arusha ni ukora na uhuni
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo kweny ukabila sijajua unamaanisha nini, ila ungeweza kijenga hoja yako bila kuingiza ukabilaKweli kabisa mkuu kule kaskazini Mimi nimekaa yaani kila mtu ni mjuaji na ukabila sana yaani Kama si mwenyeji wa kule hata ukipata kibarua watu wanaumia na kukufanyia figisu makusudi ili ushindwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kitu kilichopo na ndio uhalisia ulivyo Kaka kwa Nini tufiche kwani neno ukabila ni tusi?hapo kweny ukabila sijajua unamaanisha nini, ila ungeweza kijenga hoja yako bila kuingiza ukabila
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimanjaro na Arusha hazina tofauti kwenye changamoto zake! Arusha ukidondosha buku inagombaniwa na wababe ishirini na ushee!sasa kama wewe mbavu moja usitegemee hata kuigusa achilia mbali kuinyakua!! Kilimanjaro hivyohivyo! Huko kwingine hata hiyo buku ya kugombania haipo!Tatizo la kigoma ni connection na mikoa mingine, tatizo la kilimanjaro ni aina ya wakaazi, wako very conservative na kila fursa wanaimudu, tatizo la arusha ni ukora na uhuni
Sent using Jamii Forums mobile app
In short sema tu kule kila mtu anaijua hela,kwa hiyo kama unafikiria kupata kimtelezo hilo sahau! Na watu wako chained! Fursa unayoiona leo kuna wenzako walisha ilia timing kitambo!! Sasa wewe ukiwa ndiyo umeingia tu na kuona wenyeji wakiwahi kila fursa unayoiwaza utahisi ni ukabila kumbe ni connection mtu aliyoitega kabla hata wewe hujaiwaza!! Na wala si ajabu maana hata wewe ni mjanja kwenye mazingira uliyoyazowea kuliko ugenini!! Mtu katega mingo zake kitambo halafu wewe unataka ukija ukute watu wamelala wanakoroma ukwapue mchongo na kusepa!! Huko watu wako macho 24/7 mkuu!Kweli kabisa mkuu kule kaskazini Mimi nimekaa yaani kila mtu ni mjuaji na ukabila sana yaani Kama si mwenyeji wa kule hata ukipata kibarua watu wanaumia na kukufanyia figisu makusudi ili ushindwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigoma connection kubwa sana, kuna moaka wa Congo na Burundi na kumbuka hizo nchi zinategemea kwa kiasi kikubwa mpaka wa kigoma kupitisha bidhaa zao.Tatizo la kigoma ni connection na mikoa mingine, tatizo la kilimanjaro ni aina ya wakaazi, wako very conservative na kila fursa wanaimudu, tatizo la arusha ni ukora na uhuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigoma kuna fursa kubwa sana ya kutoka kimaisha, wengi waliothubutu wamefanikiwa na huwezi kuwashawishi kuondoka kigoma.Ieleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-
- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote
Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.