Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Ieleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-

- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote

Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
 
Umesahau dodoma Ukipata 10k kwa siku yote inaishia sokoni

CC Zero IQ
 
Mkuu upo sahihi kabisa hata Mimi niliwaza hivyo.
Mikoa Kama ya Lindi na mtwara inaingilika kirahisi na pia ni rahisi kuwashawishi watu wake ukiwa na biashara.
Hata ukinunua korosho tu tayar ni dili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la kigoma ni connection na mikoa mingine, tatizo la kilimanjaro ni aina ya wakaazi, wako very conservative na kila fursa wanaimudu, tatizo la arusha ni ukora na uhuni

Kweli kabisa mkuu kule kaskazini Mimi nimekaa yaani kila mtu ni mjuaji na ukabila sana yaani Kama si mwenyeji wa kule hata ukipata kibarua watu wanaumia na kukufanyia figisu makusudi ili ushindwe.

Kilimanjaro na Arusha hazina tofauti kwenye changamoto zake! Arusha ukidondosha buku inagombaniwa na wababe ishirini na ushee!sasa kama wewe mbavu moja usitegemee hata kuigusa achilia mbali kuinyakua!! Kilimanjaro hivyohivyo! Huko kwingine hata hiyo buku ya kugombania haipo!
 
Kweli kabisa mkuu kule kaskazini Mimi nimekaa yaani kila mtu ni mjuaji na ukabila sana yaani Kama si mwenyeji wa kule hata ukipata kibarua watu wanaumia na kukufanyia figisu makusudi ili ushindwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
In short sema tu kule kila mtu anaijua hela,kwa hiyo kama unafikiria kupata kimtelezo hilo sahau! Na watu wako chained! Fursa unayoiona leo kuna wenzako walisha ilia timing kitambo!! Sasa wewe ukiwa ndiyo umeingia tu na kuona wenyeji wakiwahi kila fursa unayoiwaza utahisi ni ukabila kumbe ni connection mtu aliyoitega kabla hata wewe hujaiwaza!! Na wala si ajabu maana hata wewe ni mjanja kwenye mazingira uliyoyazowea kuliko ugenini!! Mtu katega mingo zake kitambo halafu wewe unataka ukija ukute watu wamelala wanakoroma ukwapue mchongo na kusepa!! Huko watu wako macho 24/7 mkuu!
 
Tatizo la kigoma ni connection na mikoa mingine, tatizo la kilimanjaro ni aina ya wakaazi, wako very conservative na kila fursa wanaimudu, tatizo la arusha ni ukora na uhuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kigoma connection kubwa sana, kuna moaka wa Congo na Burundi na kumbuka hizo nchi zinategemea kwa kiasi kikubwa mpaka wa kigoma kupitisha bidhaa zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ieleweke ni ngumu sana kufanikiwa kimaisha SIO haiwezekani kufanikiwa:-

- Arusha
- Kilimanjaro
- Tabora
- Simiyu
- Geita
- Kigoma
- Lindi
- Mtwara
- Ruvuma
- Bukoba
- Mara
- zanzibar yote

Hiyo mikoa kama ndio unataka kuanza kutafuta maisha sikushauri uende.
Kigoma kuna fursa kubwa sana ya kutoka kimaisha, wengi waliothubutu wamefanikiwa na huwezi kuwashawishi kuondoka kigoma.
Kumbuka kuna mpaka wa Congo na Burundi na mkoa umeunganishwa n Zambia kupitia ziwa Tanganyika...moaka hapo fursa umeshaiona.
Kwangu mi ntakwambia mkoa mgumu kutoka kimaisha ni Dar, vijana wanaishia kuwa "wachuuzi" angalau kupata mia mbili mia tatu za kodi na chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom