Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

Mzunguko wa pesa kiujumla Rungwe na Songea upi ni mkubwa.
Rungwe ni Wilaya yote unaamanisha au mjini tu.Songea ni manispaa.Kama una linganisha Rungwe mjini na Songea, Songea mzunguko mkubwa.Ukisema Songea DC na Rungwe DC ipi afadhali,itakuwa Rungwe juu zaidi.
 
Pazuri kulingana na taratibu zako za biashara uaminifu na ubunifu wako kwa maana ya kuweza kuwa na bidhaa zinazo hitajika kwa wakati....pia kuweza jibrand biashara ni watu so ni namna utakavyo jiweka.......kwaribu PM kwa maswali mengine
Asante Mkuu huko lazima nifike ila vipi mzunguko wa pesa
maeneno ya Songea ukoje Mkuu.

Hasa maeneo ya shughuli zinazohusu SIMU iwe kutengeneza au kuuza vifaa vyake.
 
Karibu mzee kwa hapo lazma uzichange soko lipo wazi kubwa uaminifu kwenye kazi zako......karibu sna
Mafundi software ni wachache au hawajui? Vipi kuhusu Ufundi computer, modem na Data recovery?
Mimi napiga zote ila simu nipo kwenye software
 
Karibu mzee kwa hapo lazma uzichange soko lipo wazi kubwa uaminifu kwenye kazi zako......karibu sna
Wakuu nataka nizamie Geita, tofauti na biashara ya madini ni biashara gani nyingine inayolipa!?
 
Wakuu nataka nizamie Geita, tofauti na biashara ya madini ni biashara gani nyingine inayolipa!?
 
Back
Top Bottom