Ni kweli,kujuana kupo kwa biashara.Nenda Lizaboni,Mfaranyaki,Bombambili,Msamala,Making'inda,Matarawe,Matogoro,Mahenge,Maji Maji nk vigrosary NJE nyumba za watu wanywaji wale wale.Halafu wangoni wanapenda sifa ,show up na kwa majungu hawajambo.Watani zangu wafupi wafupi % kubwa.Labda Wayao,Wandendeure na Wanyasa kidogo warefu.Ila wanyasa kitabia ni kama wahaya.Wamatengo nao SIFA wanapenda sana ila ni wachacharikaji wa Ruvuma.
Mzunguko wa Fedha mdogo ila life siyo tough na vyakula ni vingi sana ingawa madawa ya kukuzia ndio nyumbani kwake kuweza kusababisha kansa.
Karibuni Ruvuma Wakuu,naishi Majengo nyuma ya shell ya Kisumapai.