Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaan kk acha tu cku utayopata matatizo makubwa unaweza ht gombana na Mungu wako maana ht hao wanaojiita mitume huwa hawapendelei case kubwa haswa zile ambazo zinaonekana physically, wao wantk issue za mapepo au magonjwa ambayo hayaonekan kwa macho ili ht akisema umepona au vip hakuna anayeweza thibitisha, yaan cku ambayo utapata changamoto kubwa ya kiafya ndio utajua kuwa hawa watu sio kabisaKansa mbal sana mzee ,kilema unaemjua wee aende kwa hao fake prophets kama huyo Joshua hawez kupona ,always 'wanapona' usowajuwa
hawa watu hawako timamu, mtu na akili yake hawezi husisha kuumwa kwa mtu na utendaji dhambiMkuu kuna watu hawajawahi kutenda dhambi Ila ni wagonjwa taabani,by the way nimeupenda mwandiko wako,hongera!.
so ni unamaanisha ni kweli binadamu tunapata magonjwa kwa sababu ya dhambi tunazotenda? kansa kisukari n.k ni sababu ya dhambi?Umejuaje hawajatenda dhambi kwenye biblia 1Yohana 1:8-10 inasema.mkisema hamna dhambi mnajidanganya.Kwa hiyo ajikague na.kujitafakari Mungu ni mwaminifu atajua wapi kuna shida.Matauo 16:19 tumepewa fungus za kufunga chochote dunuani na.mbinguni kitafungwa.Funga magonjwa na roho zote zilizokinyume huyo ndugu yako atapona
Sababu zinazotufanya tuugue ziko nyingi, mkuu. Dhambi ni mojawapo tu. Kama unamkumbuka Ayubu(wa Biblia) alikuwa mtakatifu sana. Katika nchi aliyoishi hapakuwepo mtu mcha Mungu kama yeye. Lakini majipu mazito yalimuandama na mabalaa mengi: mara kufiwa na watoto, mifugo kuibiwa, nk. Si unajua kwanini hayo yalimpata? Mungu alimruhusu shetani amjaribu Ayubu. Alipoyashinda majaribu yote bila kutenda dhambi, alipona. Kuna mtu mwingine(katika Biblia) watu walimuuliza Yesu kwanini huyo mtu anaumwa, je ni wazazi wake wametenda dhambi au yeye mwenyewe? Yesu akawajibu, huyo hakutenda dhambi wala wazazi wake; bali ugonjwa ule aliupata kwa utukufu wa Mungu! Na magonjwa mengine yanatupata kwa kukosa tu maarifa. Kwa mfano, mtu anakula chips mayai kila siku; matunda hali, mboga za majani hali. Mtu huyo ni rahisi kushambuliwa na Covid-19 maana atakuwa hana kinga ya kutosha mwilini kwa sababu hali vyakula vya kulinda mwili.Mkuu kuna watu hawajawahi kutenda dhambi Ila ni wagonjwa taabani,by the way nimeupenda mwandiko wako,hongera!.
Kwa neema ya Mungu tumeiona tena siku ya leo tukiwa na uzima na nguvu ya kuingia katika jukwaa letu pendwa (JF), ili kupashana habari, kutiana moyo na kushauriana. Wakati sisi tunafurahia mada mbalimbali zinazoletwa humu, tusisahau kuna ndugu zetu, jamaa zetu na marafiki zetu wana huzuni kubwa kwakuwa wamelazwa hospitalini muda mrefu kutokana na magonjwa sugu au "yasiyosikia dawa" kama vile kansa, ukimwi, kisukari, magonjwa ya moyo, nk. Ni jukumu letu kutafuta namna ya kuwasaidia.
Watu wanaougua muda mrefu hupewa ushauri mwingi sana wa jinsi ya kujinasua kutoka katika magonjwa sugu. Wagonjwa wa aina hiyo mara nyingine hushauriwa waende kwa wahubiri, wachungaji, manabii au mitume wakaombewe. Huaminishwa kuwa wengi katika wale wanaoombewa hupokea uponyaji kwa njia ya muujiza tena bila kulipa gharama yoyote.
T.B. Joshua anafahamika sana ulimwenguni kutokana na maombezi anayoyafanya katika kanisa lake kubwa, lililoko Nigeria. Kwa wanaofuatilia habari za mhubiri huyo, ni wazi watakuwa ama wamesikia au kuona vipofu, viwete, viziwi na wenye magonjwa sugu wakitoa shuhuda za uponyaji baada ya kuombewa na T.B. Joshua. Sio mhubiri huyo tu anayeombea wagonjwa, wapo wahubiri wengine Kenya, South Africa, Korea ya Kusini, USA nk wanaoombea watu wenye magonjwa mbalimbali. Kuna mhubiri fulani, Tanzania, yeye sio tu anaombea wagonjwa, amewahi kuonekana pia akiombea mtu aliyekufa, kisha mtu huyo akafufuka!
Hao wote wanafuata nyayo za Yesu. Siku moja Yesu alipokuwa duniani alimponya mtu aliyekuwa mgonjwa sana kwa miaka 38. Alikuwa hawezi kuinuka kutoka kwenye godoro lake. Yesu alimponya kwa kumwambia tu, "inuka, umekuwa mzima, jitwike godoro lako uende." Akainuka, akaenda zake, mzima kabisa! Baadaye Yesu alimkuta huyo mtu hekaluni akamwambia: "Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi."(Yohana 5:14).
Je, una ndugu, jamaa au rafiki anayeteseka na magonjwa mabaya? Ametibiwa hospitali miaka mingi lakini imeshindikana? Sio vibaya ukimshauri aende akaombewe. Akikubali ushauri wako, akaamua kwenda kuombewa mahali popote - kwa T.B. Joshua au kwa mhubirii yeyote maarufu, mwambie akiombewa, akapona, ajihadhari sana asitende dhambi tena. Mtu akitenda dhambi baada ya kupona kwa muujiza, kuna uwezekano wa kurudiwa na ugonjwa uleule kwa viwango vya juu zaidi au kupatwa na jambo baya zaidi. Nawatakia watu wote maisha ya heri.
Unawezaje kuishi kwenye hii dunia bila kutenda dhambi?Sawa Agent napataje tiketi ya kwenda huko
Wanajifariji tuKansa ikimrudia mtu ndo easy assumption kuwa Katenda tena dhambi?
Seriously?
Dhambi ya kung'atwa na mbu, malariahivi kwani tunapatwa na magonjwa kwasababu tunatenda dhambi?
Asante kwa kwa kunipa elimu nzuri ya biblia mkuu,Mungu na akupe haja za moyo wako.amenSababu zinazotufanya tuugue ziko nyingi, mkuu. Dhambi ni mojawapo tu. Kama unamkumbuka Ayubu(wa Biblia) alikuwa mtakatifu sana. Katika nchi aliyoishi hapakuwepo mtu mcha Mungu kama yeye. Lakini majipu mazito yalimuandama na mabalaa mengi: mara kufiwa na watoto, mifugo kuibiwa, nk. Si unajua kwanini hayo yalimpata? Mungu alimruhusu shetani amjaribu Ayubu. Alipoyashinda majaribu yote bila kutenda dhambi, alipona. Kuna mtu mwingine(katika Biblia) watu walimuuliza Yesu kwanini huyo mtu anaumwa, je ni wazazi wake wametenda dhambi au yeye mwenyewe? Yesu akawajibu, huyo hakutenda dhambi wala wazazi wake; bali ugonjwa ule aliupata kwa utukufu wa Mungu! Na magonjwa mengine yanatupata kwa kukosa tu maarifa. Kwa mfano, mtu anakula chips mayai kila siku; matunda hali, mboga za majani hali. Mtu huyo ni rahisi kushambuliwa na Covid-19 maana atakuwa hana kinga ya kutosha mwilini kwa sababu hali vyakula vya kulinda mwili.
Utapata wengi tu mkuu,ila kwenye sadaka hapo ndo sijui tutakuwa tunatuma na ya kutolea!.Hivi nikianzisha kanisa humu ndani si nitapata wafuasi wengi sana.?
Mkuu magonjwa yanasababishwa na mambo mengi tu nje ya dhambi.Umejuaje hawajatenda dhambi kwenye biblia 1Yohana 1:8-10 inasema.mkisema hamna dhambi mnajidanganya.Kwa hiyo ajikague na.kujitafakari Mungu ni mwaminifu atajua wapi kuna shida.Matauo 16:19 tumepewa fungus za kufunga chochote dunuani na.mbinguni kitafungwa.Funga magonjwa na roho zote zilizokinyume huyo ndugu yako atapona
Na tena tusitafute miujiza ya mwili, hata ukipona leo hutoishi kimwili milele, hakuna muujiza mkuu kama ule wa kuponywa roho isiangamie.Kwa neema ya Mungu tumeiona tena siku ya leo tukiwa na uzima na nguvu ya kuingia katika jukwaa letu pendwa (JF), ili kupashana habari, kutiana moyo na kushauriana. Wakati sisi tunafurahia mada mbalimbali zinazoletwa humu, tusisahau kuna ndugu zetu, jamaa zetu na marafiki zetu wana huzuni kubwa kwakuwa wamelazwa hospitalini muda mrefu kutokana na magonjwa sugu au "yasiyosikia dawa" kama vile kansa, ukimwi, kisukari, magonjwa ya moyo, nk. Ni jukumu letu kutafuta namna ya kuwasaidia.
Watu wanaougua muda mrefu hupewa ushauri mwingi sana wa jinsi ya kujinasua kutoka katika magonjwa sugu. Wagonjwa wa aina hiyo mara nyingine hushauriwa waende kwa wahubiri, wachungaji, manabii au mitume wakaombewe. Huaminishwa kuwa wengi katika wale wanaoombewa hupokea uponyaji kwa njia ya muujiza tena bila kulipa gharama yoyote.
T.B. Joshua anafahamika sana ulimwenguni kutokana na maombezi anayoyafanya katika kanisa lake kubwa, lililoko Nigeria. Kwa wanaofuatilia habari za mhubiri huyo, ni wazi watakuwa ama wamesikia au kuona vipofu, viwete, viziwi na wenye magonjwa sugu wakitoa shuhuda za uponyaji baada ya kuombewa na T.B. Joshua. Sio mhubiri huyo tu anayeombea wagonjwa, wapo wahubiri wengine Kenya, South Africa, Korea ya Kusini, USA nk wanaoombea watu wenye magonjwa mbalimbali. Kuna mhubiri fulani, Tanzania, yeye sio tu anaombea wagonjwa, amewahi kuonekana pia akiombea mtu aliyekufa, kisha mtu huyo akafufuka!
Hao wote wanafuata nyayo za Yesu. Siku moja Yesu alipokuwa duniani alimponya mtu aliyekuwa mgonjwa sana kwa miaka 38. Alikuwa hawezi kuinuka kutoka kwenye godoro lake. Yesu alimponya kwa kumwambia tu, "inuka, umekuwa mzima, jitwike godoro lako uende." Akainuka, akaenda zake, mzima kabisa! Baadaye Yesu alimkuta huyo mtu hekaluni akamwambia: "Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi."(Yohana 5:14).
Je, una ndugu, jamaa au rafiki anayeteseka na magonjwa mabaya? Ametibiwa hospitali miaka mingi lakini imeshindikana? Sio vibaya ukimshauri aende akaombewe. Akikubali ushauri wako, akaamua kwenda kuombewa mahali popote - kwa T.B. Joshua au kwa mhubirii yeyote maarufu, mwambie akiombewa, akapona, ajihadhari sana asitende dhambi tena. Mtu akitenda dhambi baada ya kupona kwa muujiza, kuna uwezekano wa kurudiwa na ugonjwa uleule kwa viwango vya juu zaidi au kupatwa na jambo baya zaidi. Nawatakia watu wote maisha ya heri.
Kwa neema ya Mungu tumeiona tena siku ya leo tukiwa na uzima na nguvu ya kuingia katika jukwaa letu pendwa (JF), ili kupashana habari, kutiana moyo na kushauriana. Wakati sisi tunafurahia mada mbalimbali zinazoletwa humu, tusisahau kuna ndugu zetu, jamaa zetu na marafiki zetu wana huzuni kubwa kwakuwa wamelazwa hospitalini muda mrefu kutokana na magonjwa sugu au "yasiyosikia dawa" kama vile kansa, ukimwi, kisukari, magonjwa ya moyo, nk. Ni jukumu letu kutafuta namna ya kuwasaidia.
Watu wanaougua muda mrefu hupewa ushauri mwingi sana wa jinsi ya kujinasua kutoka katika magonjwa sugu. Wagonjwa wa aina hiyo mara nyingine hushauriwa waende kwa wahubiri, wachungaji, manabii au mitume wakaombewe. Huaminishwa kuwa wengi katika wale wanaoombewa hupokea uponyaji kwa njia ya muujiza tena bila kulipa gharama yoyote.
T.B. Joshua anafahamika sana ulimwenguni kutokana na maombezi anayoyafanya katika kanisa lake kubwa, lililoko Nigeria. Kwa wanaofuatilia habari za mhubiri huyo, ni wazi watakuwa ama wamesikia au kuona vipofu, viwete, viziwi na wenye magonjwa sugu wakitoa shuhuda za uponyaji baada ya kuombewa na T.B. Joshua. Sio mhubiri huyo tu anayeombea wagonjwa, wapo wahubiri wengine Kenya, South Africa, Korea ya Kusini, USA nk wanaoombea watu wenye magonjwa mbalimbali. Kuna mhubiri fulani, Tanzania, yeye sio tu anaombea wagonjwa, amewahi kuonekana pia akiombea mtu aliyekufa, kisha mtu huyo akafufuka!
Hao wote wanafuata nyayo za Yesu. Siku moja Yesu alipokuwa duniani alimponya mtu aliyekuwa mgonjwa sana kwa miaka 38. Alikuwa hawezi kuinuka kutoka kwenye godoro lake. Yesu alimponya kwa kumwambia tu, "inuka, umekuwa mzima, jitwike godoro lako uende." Akainuka, akaenda zake, mzima kabisa! Baadaye Yesu alimkuta huyo mtu hekaluni akamwambia: "Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi."(Yohana 5:14).
Je, una ndugu, jamaa au rafiki anayeteseka na magonjwa mabaya? Ametibiwa hospitali miaka mingi lakini imeshindikana? Sio vibaya ukimshauri aende akaombewe. Akikubali ushauri wako, akaamua kwenda kuombewa mahali popote - kwa T.B. Joshua au kwa mhubirii yeyote maarufu, mwambie akiombewa, akapona, ajihadhari sana asitende dhambi tena. Mtu akitenda dhambi baada ya kupona kwa muujiza, kuna uwezekano wa kurudiwa na ugonjwa uleule kwa viwango vya juu zaidi au kupatwa na jambo baya zaidi. Nawatakia watu wote maisha ya heri.
Matajiri wote wachawi na ni washirikina. Kamwe hawezi kupita kwenye tundu la shindano.Ni sawa kuokoka ni muhimu....lakini katika maisha haya ya duniani na mazingira halisi...kuishi maisha ya kiroho bila kumkwaza Mungu ni kujidanganya.....unless kama ni tajiri ambaye unajitegemea kwa kila kitu....lakini otherwise walokole wengi ni wanafiki sababu tunaishi nao mitaani na tunaona