Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

Ifanyike awarereness ya kutosha misikitini juu ya hawa watu.
Kibaya wapo Ktk sura ya dini lakini ni mbali kabisa na mafundisho..
Mitihani ni kwamba wanawahadaa wengi wasio na ujuzi wakidhani ni wachamungu.

Wapigwe vita ..wanaingiza watu Ktk mitihani kwa kutojua.

Wengi ni waganga njaa tu
 
Maelekezo ya hijabu yamo ndani ya QUR'AN,haihitajiki mtu kupewa hadithi za alfu llayla ullayla za Aisha ili kujua Allah kaelekeza vipi mavazi ikiwemo hijab...hizo porojo pamoja na zile za Aisha kuolewa akiwa na miaka 6 na kuingiliwa akiwa na 9 mnasadiki nyinyi msiosoma QUR'AN na kutafakari
 
Inaonekana hata hujui maana ya fatwa.
Hujui maana ya utata katika dini
Hujui maana ya wanawazuoni

Hakuna mwana wa dhuoni anatoa fatwa bila ya ushahidi kutoka katika either kitabu au sunnah.

Watu wa BIDAH mnashida sana.
Tatizo lenu answar/salafi ni kujifanya mpo sahihi na mna elimu Sana,nisijue mwanazuoni ni nani!?..Kama kweli wanazuoni hutoa fatwa kwa kufuata QUR'AN na Sunnah,qiyas ni nini!?..niqab inayoendana kinyume na maagizo ya QUR'AN aliiamrisha nani!?
 
Dah huku unapoelekea sasa ni kwenye kukufuru kabisaaa

Na bila ya shaka ww nahisi ni Shia
 
Hawa wanafiki na ushirikina wao wakienda Saudia au Kuwait huwa vinachomwa moto kabisa

Kuna jamaa mmoja alikuwa na kitabu kama hicho anajiita shehe Kassim hicho kitabu nilipokifungua kilikuwa na maandishi ya ajabu sana na michoro kibao

Halafu shehe mwenyewe nilimuuliza umepata wapi huu ujuzi akaseme kapewa na baba yake
Ila hata kuswali hajui bali unafiki mtupu na kujifanya anatibu

Hawa kiboko yao wakienda uarabuni especially Saudia
 
Mambo ya waganga hayo na wanajipatia pesa kweli.ila ni ushirikina mtupu na kudhuru watu

Shirk ni dhambi namba Moja Duniani

Wapiga ramli jiangalieni sana na wenyewe mnaita x-ray

Kutwa kuchonganisha watu ,mara umerogwa na mfanyakazi mwenzio usionekane uonekane ukubwa wako kazini
 
Hao sio masheikh ni matapeli.Hakuna Sheikh anayefanya uganga huo.
 
Kufuru ni kumkana Allah sw,Mimi si shia Wala si sunni
Nambie kwenye kauli ya mtume ww upo wapi

Utagawanyika ummah wangu katika makundi 73 ,moja tu ndo litakaloingia peponi yote yaliyobaki yataingia motoni

Kwa kauli ww sema upo kundi gani
Ukisema huna kundi basi pia umepinga kauli ya mtume

Kazi kwako
 
Nambie kwenye kauli ya mtume ww upo wapi

Utagawanyika ummah wangu katika makundi 73 ,moja tu ndo litakaloingia peponi yote yaliyobaki yataingia motoni

Kwa kauli ww sema upo kundi gani
Ukisema huna kundi basi pia umepinga kauli ya mtume

Kazi kwako
Una uhakika gani kua hiyo kweli ni kauli ya mtume?!
 
Hiyo kusema tu imebadilishwa na kupotoshwa, ni tatizo katika hoja yako.

Kama unadai imepotoshwa, una uhakika gani hayo mafungu uliyoweka hayajapotoshwa.
 
Una uhakika gani kua hiyo kweli ni kauli ya mtume?!
Dah sasa ndo nathibitisha zaidi kua ww unaelekea kukufuru kabisaa

Hlf ety since 1991 unasoma dini , ivi unasoma dini gni ww usoijua hta iyo hadithi


Maghurafi mna tabu sanaaa
 
Hii lugha ya kiarabu Ina mahusiano ya Moja kwa Moja na mashetani/ majini, kama mwarabu asingekuja Tanzania na kuleta mbegu za hayo madude ,Tanzania 🇹🇿 ingekuwa mbali Sana kiuchumi. Hayo madude hata ukisoma vipi na ukafanikiwa kibiashara wanakurushia kichwani na ndio unakuwa mwisho wa malengo yako
 
Hiyo kusema tu imebadilishwa na kupotoshwa, ni tatizo katika hoja yako.

Kama unadai imepotoshwa, una uhakika gani hayo mafungu uliyoweka hayajapotoshwa.

Uhakika nilionao ni kuwa hakuna aya yoyote katika biblia yoyote iliyomnukuu Bwana Yesu akisema Mimi ni mungu na mniabudu mimi.

Kuhusu upotoshaji sisemi mimi, ni hao wanaoziandika biblia ndio wanaosema



All versions are not saying the same thing!


This chart is by no means complete.​


Most Christians recognize the New World Translation (NWT - Jehovah's Witness Bible) for the corrupt work it is.

What most Christians don't recognize is the same corruption in their own "Christian" bibles!






AV (King James)New InternationalNew American StandardNew World Translation
Hos 11:12…but Judah yet ruleth with God, and is faithful with the saints.Judah is unruly against God, even against the faithful Holy One.Judah is also unruly against God, even against the Holy One who is faithful.Judah is yet roaming with God, and with the Most Holy One he is trustworthy.
Mt 9:13for I am not come to call the righteous, but sinners to repentance.For I have not come to call the righteous, but sinners.For I did not come to call the righteous, but sinners.For I came to call, not righteous people, but sinners.
Mt 18:11​
For the Son of man is come to save that which was lost.​
OMITTED​
footnote casts doubt​
OMITTED​
Mt 19:17Why callest thou me good?"Why do you ask me about what is good?""Why are you asking me about what is good?""Wny do you ask me about what is good?"
Mt 25:13Ye know neither the day nor the hour wherein the Son of man cometh.You do not know the day or the hour.You do not know the day nor the hour.You know neither the day nor the hour,
Mk 10:24…how hard it is for them that trust in riches to enter into the kingdom of God!…how hard it is to enter the kingdom of God!…how hard it is to enter the kingdom of God!…how difficult a thing it is to enter into the kingdom of God!
Lk 2:33And Joseph and his mother,,,The child's father and mother…His father and mother…its father and mother…
Lk 4:4Man shall not live by bread alone, but by every word of God.Man does not live on bread alone.Man shall not live on bread alone.Man must not live by bread alone.
Lh 4:8​
Get thee behind me, Satan.​
OMITTED​
OMITTED​
OMITTED​
Jn 6:47He that believeth on me hath everlasting life.He who believes has everlasting life.He who believes has eternal life.He that believes has everlasting life.
Jn 8:9​
And when they heard it, being convicted by their own conscience, went out…​
…those who heard began to go away…​
…when they heard it, they began to go out one by one…​
OMITTED​
Jn 9:4I must work the works of him that sent me.We must do the work of him who sent me.We must work the works of Him who sent Me.We must work the works of him that sent me.
Jn 10:30I and my Father are oneI and the Father are one.I and the Father are one.I and the Father are one.
Ac 2:30that of the fruit of his loins, according to the flesh, he would raise up Christ to sit on his throne;…he would place one of his descendants on his throne.…to seat one of his descendants upon his throne.…he would seat one from the fruitage of his loins upon his throne.
Ac 8:37​
If thou believest with all thine heart, thou mayest. And he answered and said, I believe that Jesus Christ is the Son of God.
OMITTED​
footnote casts doubt (some editions just omit it)​
OMITTED​
Ac 23:9​
Let us not fight against God.​
OMITTED​
OMITTED​
OMITTED​
Rom 13:9​
Thou shalt not bear false witness.
OMITTED​
OMITTED​
OMITTED​
Co 1:14In whom we have redemption through his blood, even the forgiveness of sins.In whom we have redemption, the forgiveness of sins.In whom we have redemption, the forgiveness of sins.By means of whom we have our release by ransom, the forgiveness of our sins.
1Ti 3:16God was manifest in the flesh.He appeared in a body.He who was revealed in the flesh.He was made manifest in the flesh.
1Ti 6:5Perverse disputings of men of corrupt minds, and destitute of the truth, supposing that gain is godliness: from such withdraw thyself."from such withdraw thyself" is omitted"from such withdraw thyself" is omitted"from such withdraw thyself" is omitted
1Pe 1:22Ye have purified your souls in obeying the truth through the Spirityou have purified yourselves by obeying the truth…Since you have in obedience to the truth purified your souls…Now that you have purified your souls by your obedience to the truth…
1Jo 4:3And every spirit that confesseth not that Jesus Christ is come in the flesh is not of God.But every spirit that does not acknowledge Jesus is not from God.And every spirit that does not confess Jesus is not from God.But every inspired expression that does not confess Jesus does not originate with God.
Re 5:14Four and twenty elders fell down and worshipped him that liveth for ever and ever.…the elders fell down and worshipped.…the elders fell down and worshipped.…the elders fell down and worshipped.
Re 20:9Fire came down from God out of heaven…Fire came down from heaven…Fire came down from heaven…Fire came down out of heaven…
Re 21:24And the nations of them which are saved shall walk in the light of it.The nations will walk by its light.And the nations shall walk by its light.And the nations will walk by means of its light.
 
Dah sasa ndo nathibitisha zaidi kua ww unaelekea kukufuru kabisaa

Hlf ety since 1991 unasoma dini , ivi unasoma dini gni ww usoijua hta iyo hadithi


Maghurafi mna tabu sanaaa

Kwa faida ya wengi ungaliweka huo usahihi wa hiyo hadithi
 
Hiyo kusema tu imebadilishwa na kupotoshwa, ni tatizo katika hoja yako.

Kama unadai imepotoshwa, una uhakika gani hayo mafungu uliyoweka hayajapotoshwa.


Contradictions between KJV and NIV Bibles:

The following is from:


Chick.com: A Quick Comparison of Bible Versions


King James Version (KJV)​
New International Version (NIV)​
Why did Jesus come to earth?
Luke 9:56
For the Son of man is not come to destroy men's lives, but to save them. And they went to another village.​
Luke 9:56
and they went to another village.​
Matt. 18:11
For the Son of man is come to save that which was lost.​
Matt. 18:11
(missing)​
Is repentance important?

Matt. 9:13
...I am not come to call the righteous, but sinners to repentance.​
Matt. 9:13
...I have not come to call the righteous, but sinners.​
For whom did Jesus die?
I Cor. 5:7
...Christ our passover is sacrificed for us:​
I Cor. 5:7
...Christ, our Passover lamb, has been sacrificed.​
In Whom must you believe to be saved?
John 6:47
Verily, verily, I say unto you, He that believeth on me hath everlasting life.​
John 6:47
I tell you the truth, he who believes has everlasting life.​
Was Joseph really the father of Jesus?
Luke 2:33
And Joseph and his mother marvelled at those things which were spoken of him.​
Luke 2:33
The child's father and mother marveled at what was said about him.​
Did Jesus give His disciples power to heal?
Mark 3:15
...power to heal sickness, and to cast out devils.​
Mark 3:15
...authority to drive out demons.​
If it's hard to do, should we just remove it?
Mark 11:26
But if ye do not forgive, neither will your Father which is in heaven forgive your trespasses.​
Mark 11:26
(missing)​
Who is in charge?
I Cor. 10:28
...for the earth is the Lord's and the fulness thereof:​
I Cor. 10:28
(last part of verse missing)​
How must we deal with our enemies?
Matt. 5:44
...Love your enemies, bless them that curse you, do good to them that hate you, and pray for them which despitefully use you, and persecute you.​
Matt. 5:44
...Love your enemies and pray for those who persecute you.​
Where did Jesus go?
John 16:16
A little while, and ye shall not see me: and again a little while, and ye shall see me, because I go to the Father.​
John 16:16
In a little while you will see me no more, and then after a little while you will see me.​
 
Kitu ambacho najiuliza apa km huu n uchawi ww umeingiaje adi umepata hivi vikaratasi Kwa nn ubebe uko uvitupe njiani km una iman achana kbsa n hizo group zako usiende huko n kupotea Baki n iman Yako mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…