Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Karibu katika Usalafi nduguWamaalifatu dinu biadila.
Manhaji iliyosalimika.
Me ni nawakubali sana masalafi sema dunia tu inanihadaa sana.
Dunia ni fupi sana hii
Jenga Akhera yako usiendekeze dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu katika Usalafi nduguWamaalifatu dinu biadila.
Manhaji iliyosalimika.
Me ni nawakubali sana masalafi sema dunia tu inanihadaa sana.
Kijana ttzo lko huna Elimu ya kutosha hlf mjuajiUchawi si ushirikina,ni uelewa mbaya tu juu ya shirki,malaika walifundisha uchawi hawakufundisha shirki,wanaoitwa washirikina kwenye Quran walikua wakiabudu sanamu,acha kujitia una elimu Sana na umeongoka na usalafi wako mnaogeuza wanazuoni kuwa miungu kwa kufuata fatwa zao badala ya Quran
Acha kupotosha watuSalafi wanawanukuu Sana wanazuoni katika kipi kifuatwe kipi kidifuatwe(fatwa) badala ya Quran..huko ni kigeuza wanazuoni kuwa miungu badala ya Allah,na Allah kaonya Hilo kwenye Qur'an
Sasa umekataa nini umekubali nini!?..swahaba,tabiin,na tabiin tabiin wanaingiaje kwenye fatwa kiasi kwamba kauli zao zina uzito sawa na Quran!?..hayo ndiyo maelekezo ya Allah!?.. QUR'AN haitoshi!?..huo si ushirikina!?Acha kupotosha watu
Huku sisi mfumo wetu ni huu
Allah
Mtume
Swahaba
Tabiin
Tabii tabiin
.
.
.
.
Wanazuoni
Ikitolewa kauli lazima ifuate mfumo huo acha kudanganya watu kijana
Dah ni ushirikina tena? M naomba nikuache tu mna huku unapoelekea sipo kabisaaaSasa umekataa nini umekubali nini!?..swahaba,tabiin,na tabiin tabiin wanaingiaje kwenye fatwa kiasi kwamba kauli zao zina uzito sawa na Quran!?..hayo ndiyo maelekezo ya Allah!?.. QUR'AN haitoshi!?..huo si ushirikina!?
Mwanachuoni ni mtu tu ambaye anapaswa kufuata QUR'AN,hata mtume saw alifuata QUR'AN,kufuata wanazuoni ni mkondo ule ule wa Wana waisrael kufuata wanazuoni wao na kuwapotosha,nasoma dini tangu 1991 sheikh wangu,najua mentality yako,nimepita huko koteKijana ttzo lko huna Elimu ya kutosha hlf mjuaji
Sasa kukuelekeza mtu kma ww ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu
Hivi unajua hadhi ya wanachuoni ktka Uislamu wewe?au unawakejeli tu?
Wewe na salafi/answar ndiyo mna bidhaa,na niqab zenu ni uzushi(bidaa) mtupu,tatizo huwa mnajiona mpo sahihi sanaDah ni ushirikina tena? M naomba nikuache tu mna huku unapoelekea sipo kabisaaa
Watu wa bid'aa mna tabu sanaaa
Kwanza mtume saw ndo nani?Mwanachuoni ni mtu tu ambaye anapaswa kufuata QUR'AN,hata mtume saw alifuata QUR'AN,kufuata wanazuoni ni mkondo ule ule wa Wana waisrael kufuata wanazuoni wao na kuwapotosha,nasoma dini tangu 1991 sheikh wangu,najua mentality yako,nimepita huko kote
Hivi aliyempa sulemani uwezo wa ku control wale 72 demon alikuwa ni nani.Leo wachungaji wa mchongo kina Mwamposa na mafuta yao tuwapumzishe kidogo tuangalie upande mwengine
![]()
![]()
View attachment 2603934
Nimekuwa katika magroup ya tiba naona kuna hivi vikaratasi watu wanapewa ama kuelekezwa kuvichora na wa kuitwa mashehe wakiwaambia ni tiba, ulinzi, kuongeza, mvuto, n.k. niwarahishie tu kwamba huu ni UCHAWI!!
Kama ni ya matibabu ya kiroho kama kurogwa, hakuna anaeweza kutibu zaidi ya Allah bega jwa bega na dua, vifungu, rukya .
Kama ni kwa kujilinda, maandishi au michoro haiwezi kukulinda, Ni imani yako kwa Allah ndiyo inayokulinda pamoja nawe kupiga dua, kunukuu vifungu vyake.
Maneno ya korani hayapo kwajili ya kuchanganywa na michoro ama maneno mengine kwenye kijikaratasi, huo ni ushirikina wa kumshirikisha Allah na vitu vya ajabu ajabu, Allah hawezi kusaidiai hapa bali hayo maneno ya quran yanazuga tu ili ile michoro mingine au maneno ndio vitumike, hayo maneno hata ukimpa muarabu ni ngumu sana kuyatambua, ni lugha za kishetani
Ukipewa hivi vitu pindi unapotoka tu njiani chana chana kabisa tupa kule visiiingie nyumbani kwako na kama ulibebea mfukoni hio nguo choma kabisa
Nishakushusha thamani kabisaaa jpo kua ww ni mkubwa wangu ila kichwani tope zimejaaWewe na salafi/answar ndiyo mna bidhaa,na niqab zenu ni uzushi(bidaa) mtupu,tatizo huwa mnajiona mpo sahihi sana
Mungu ndo alimpa uwezo SuleimanHivi aliyempa sulemani uwezo wa ku control wale 72 demon alikuwa ni nani.
Leta andiko la Biblia kuthibitisha hayo uliyoyasema.
Tofautisha mshirikina na mnajimu kaka rakims kasaidia wengi kwa elimu yakeHuyu Rakims ndo hafai kabisaaa ni mshirikina haswaa na watu wanamfuatilia sana hpa jukwaani
Hapo kwenye kukushawishi aisee naungana na wewe USIJUBALINinaamini kwa asilimia zote hii kitu ipo kwani hata ofisini kwetu naona watu wengi mpaka maboss wanaamini/ kufanya Mambo hayo. Wanafika mbali mpaka kunishawishi kuingia katika Imani zao hizo lakini kiukweli kutoka moyoni SIPENDI hizi Mambo hata kidogo na sikuwahi kuwaza kuwa mmoja wa waumini.
Inaonekana hata hujui maana ya fatwa.Salafi wanawanukuu Sana wanazuoni katika kipi kifuatwe kipi kidifuatwe(fatwa) badala ya Quran..huko ni kigeuza wanazuoni kuwa miungu badala ya Allah,na Allah kaonya Hilo kwenye Qur'an
Kuna siku jamaa alinifuata kimyakimya ananiuliza, " oy mwanangu wewe fundi wako nani tusaidiane naona mwenzetu ajira mpya lakini nyota inawaka kwa maboss karibu wote". Kwanza sikuelewa kwa harakaharaka alivyoanza kufafanua niliishiwa nguvu. Kijana mdogo kabisa anashindwa kutia bidii katika kazi anawaza upuuzi, nikawaza akija kuwa mzee huyu si atakuwa anawanga kabisa asee!!Hapo kwenye kukushawishi aisee naungana na wewe USIJUBALI
Elimu ya unajimu nayo ni shirki tu kijanaTofautisha mshirikina na mnajimu kaka rakims kasaidia wengi kwa elimu yake
Jamani jamani hizi ni shirki jiepusheni nazo ohoooo mtakuja kuishia pabaya jmniHiyo ni talasimu ni aina fulani ya kinga naweza kusema ni kama jini hiyo watu wengi wanatembea nayo unakuta wameweka kwenye waleti ni ishu ndogo sana ila sheria yake ni moja usije kushika talasimu lililonuiwa kwa ajili ya mtu kama halikuhusu achana nalo especially kwa wanawake wanaopenda ku sachi wanaume