Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

Uchawi si ushirikina,ni uelewa mbaya tu juu ya shirki,malaika walifundisha uchawi hawakufundisha shirki,wanaoitwa washirikina kwenye Quran walikua wakiabudu sanamu,acha kujitia una elimu Sana na umeongoka na usalafi wako mnaogeuza wanazuoni kuwa miungu kwa kufuata fatwa zao badala ya Quran
Kijana ttzo lko huna Elimu ya kutosha hlf mjuaji

Sasa kukuelekeza mtu kma ww ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu

Hivi unajua hadhi ya wanachuoni ktka Uislamu wewe?au unawakejeli tu?
 
Salafi wanawanukuu Sana wanazuoni katika kipi kifuatwe kipi kidifuatwe(fatwa) badala ya Quran..huko ni kigeuza wanazuoni kuwa miungu badala ya Allah,na Allah kaonya Hilo kwenye Qur'an
Acha kupotosha watu

Huku sisi mfumo wetu ni huu
Allah
Mtume
Swahaba
Tabiin
Tabii tabiin
.
.
.
.
Wanazuoni

Ikitolewa kauli lazima ifuate mfumo huo acha kudanganya watu kijana
 
Acha kupotosha watu

Huku sisi mfumo wetu ni huu
Allah
Mtume
Swahaba
Tabiin
Tabii tabiin
.
.
.
.
Wanazuoni

Ikitolewa kauli lazima ifuate mfumo huo acha kudanganya watu kijana
Sasa umekataa nini umekubali nini!?..swahaba,tabiin,na tabiin tabiin wanaingiaje kwenye fatwa kiasi kwamba kauli zao zina uzito sawa na Quran!?..hayo ndiyo maelekezo ya Allah!?.. QUR'AN haitoshi!?..huo si ushirikina!?
 
Dah ni ushirikina tena? M naomba nikuache tu mna huku unapoelekea sipo kabisaaa

Watu wa bid'aa mna tabu sanaaa
 
Kijana ttzo lko huna Elimu ya kutosha hlf mjuaji

Sasa kukuelekeza mtu kma ww ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu

Hivi unajua hadhi ya wanachuoni ktka Uislamu wewe?au unawakejeli tu?
Mwanachuoni ni mtu tu ambaye anapaswa kufuata QUR'AN,hata mtume saw alifuata QUR'AN,kufuata wanazuoni ni mkondo ule ule wa Wana waisrael kufuata wanazuoni wao na kuwapotosha,nasoma dini tangu 1991 sheikh wangu,najua mentality yako,nimepita huko kote
 
Dah ni ushirikina tena? M naomba nikuache tu mna huku unapoelekea sipo kabisaaa

Watu wa bid'aa mna tabu sanaaa
Wewe na salafi/answar ndiyo mna bidhaa,na niqab zenu ni uzushi(bidaa) mtupu,tatizo huwa mnajiona mpo sahihi sana
 
Mwanachuoni ni mtu tu ambaye anapaswa kufuata QUR'AN,hata mtume saw alifuata QUR'AN,kufuata wanazuoni ni mkondo ule ule wa Wana waisrael kufuata wanazuoni wao na kuwapotosha,nasoma dini tangu 1991 sheikh wangu,najua mentality yako,nimepita huko kote
Kwanza mtume saw ndo nani?

Mnajifanya kumpenda mtume hlf kuandika jina lake tu hamuwezi

Ivi unajua nn alifanywa aloanza kulitumia hilo saw?
 
Leo wachungaji wa mchongo kina Mwamposa na mafuta yao tuwapumzishe kidogo tuangalie upande mwengine

336923133_932706677932030_4425398350988145523_n.jpg

343930075_194729550027513_5680366304643186106_n.jpg

View attachment 2603934

Nimekuwa katika magroup ya tiba naona kuna hivi vikaratasi watu wanapewa ama kuelekezwa kuvichora na wa kuitwa mashehe wakiwaambia ni tiba, ulinzi, kuongeza, mvuto, n.k. niwarahishie tu kwamba huu ni UCHAWI!!

Kama ni ya matibabu ya kiroho kama kurogwa, hakuna anaeweza kutibu zaidi ya Allah bega jwa bega na dua, vifungu, rukya .

Kama ni kwa kujilinda, maandishi au michoro haiwezi kukulinda, Ni imani yako kwa Allah ndiyo inayokulinda pamoja nawe kupiga dua, kunukuu vifungu vyake.

Maneno ya korani hayapo kwajili ya kuchanganywa na michoro ama maneno mengine kwenye kijikaratasi, huo ni ushirikina wa kumshirikisha Allah na vitu vya ajabu ajabu, Allah hawezi kusaidiai hapa bali hayo maneno ya quran yanazuga tu ili ile michoro mingine au maneno ndio vitumike, hayo maneno hata ukimpa muarabu ni ngumu sana kuyatambua, ni lugha za kishetani

Ukipewa hivi vitu pindi unapotoka tu njiani chana chana kabisa tupa kule visiiingie nyumbani kwako na kama ulibebea mfukoni hio nguo choma kabisa
Hivi aliyempa sulemani uwezo wa ku control wale 72 demon alikuwa ni nani.
 
Wewe na salafi/answar ndiyo mna bidhaa,na niqab zenu ni uzushi(bidaa) mtupu,tatizo huwa mnajiona mpo sahihi sana
Nishakushusha thamani kabisaaa jpo kua ww ni mkubwa wangu ila kichwani tope zimejaa

Bidhaa ndo nn? Ety niqabu uzushi? Ww unajua Aisha alikua anaongea na watu vipi kuwajibu maswali yao ndani ya nyumba ya Mtume kipindi mtume amefariki? Au unaropoka tu na kuongea usichokijua
 
Hivi aliyempa sulemani uwezo wa ku control wale 72 demon alikuwa ni nani.
Mungu ndo alimpa uwezo Suleiman

( فَتَبَسَّمَ ضَاحِكًا مِّن قَوْلِهَا وَقَالَ رَبِّ أَوْزِعْنِي أَنْ أَشْكُرَ نِعْمَتَكَ الَّتِي أَنْعَمْتَ عَلَيَّ وَعَلَىٰ وَالِدَيَّ وَأَنْ أَعْمَلَ صَالِحًا تَرْضَاهُ وَأَدْخِلْنِي بِرَحْمَتِكَ فِي عِبَادِكَ الصَّالِحِينَ )

النمل (19) An-Naml

Basi (Sulaiman) akatabasamu akacheka kwa neno hili, na akasema: Ee Mola wangu Mlezi! Nizindue niishukuru neema yako uliyo nineemesha mimi na wazazi wangu, na nipate kutenda mema uyapendayo, na uniingize kwa rehema yako katika waja wako wema.
 
Leta andiko la Biblia kuthibitisha hayo uliyoyasema.

Biblia (licha ya kubadilishwa na kupotoshwa kwa muda) ina mistari mingi ambayo Yesu anazungumza juu ya Mungu kama ni tofauti na kwake mwenyewe.

Hii tu ni baadhi yao:

Mtu mmoja alipomwita Yesu “Mwalimu Mwema,” alijibu “Kwa nini unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu mmoja.’’ [Marko 10:18]

Katika kisa kingine anasema: “Siwezi kufanya lolote peke yangu. Chochote ninachosikia, Ninahukumu na hukumu yangu ni ya haki. sitafuti mapenzi yangu mwenyewe bali mapenzi yake aliyenituma.” [Yohana 5:30]

Yesu anazungumza juu ya Mungu kama ni tofauti na yeye mwenyewe:

Ninapanda kwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu. [Yohana 20:17]

Katika mstari huu anathibitisha kwamba alitumwa na Mungu:

Huu ndio uzima wa milele: Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma. [Yohana 17:3]

Iwapo Yesu angekuwa Mungu angewaambia watu wamwabudu, lakini alifanya kinyume na akakataa yeyote anayemwabudu:

Nao wanani abudu bure [Mathayo 15:9].

Ikiwa Yesu alidai kuwa Mungu kungekuwa na mamia ya mistari katika Biblia ambayo ingeitaja.

Lakini hakuna mstari hata mmoja katika Biblia nzima ambao Yesu anasema mimi ni Mungu, niabudu.
 
Huyu Rakims ndo hafai kabisaaa ni mshirikina haswaa na watu wanamfuatilia sana hpa jukwaani
Tofautisha mshirikina na mnajimu kaka rakims kasaidia wengi kwa elimu yake
 
Hiyo ni talasimu ni aina fulani ya kinga naweza kusema ni kama jini hiyo watu wengi wanatembea nayo unakuta wameweka kwenye waleti ni ishu ndogo sana ila sheria yake ni moja usije kushika talasimu lililonuiwa kwa ajili ya mtu kama halikuhusu achana nalo especially kwa wanawake wanaopenda ku sachi wanaume
 
Ninaamini kwa asilimia zote hii kitu ipo kwani hata ofisini kwetu naona watu wengi mpaka maboss wanaamini/ kufanya Mambo hayo. Wanafika mbali mpaka kunishawishi kuingia katika Imani zao hizo lakini kiukweli kutoka moyoni SIPENDI hizi Mambo hata kidogo na sikuwahi kuwaza kuwa mmoja wa waumini.
Hapo kwenye kukushawishi aisee naungana na wewe USIJUBALI
 
Salafi wanawanukuu Sana wanazuoni katika kipi kifuatwe kipi kidifuatwe(fatwa) badala ya Quran..huko ni kigeuza wanazuoni kuwa miungu badala ya Allah,na Allah kaonya Hilo kwenye Qur'an
Inaonekana hata hujui maana ya fatwa.
Hujui maana ya utata katika dini
Hujui maana ya wanawazuoni

Hakuna mwana wa dhuoni anatoa fatwa bila ya ushahidi kutoka katika either kitabu au sunnah.

Watu wa BIDAH mnashida sana.
 
Hapo kwenye kukushawishi aisee naungana na wewe USIJUBALI
Kuna siku jamaa alinifuata kimyakimya ananiuliza, " oy mwanangu wewe fundi wako nani tusaidiane naona mwenzetu ajira mpya lakini nyota inawaka kwa maboss karibu wote". Kwanza sikuelewa kwa harakaharaka alivyoanza kufafanua niliishiwa nguvu. Kijana mdogo kabisa anashindwa kutia bidii katika kazi anawaza upuuzi, nikawaza akija kuwa mzee huyu si atakuwa anawanga kabisa asee!!
 
Hiyo ni talasimu ni aina fulani ya kinga naweza kusema ni kama jini hiyo watu wengi wanatembea nayo unakuta wameweka kwenye waleti ni ishu ndogo sana ila sheria yake ni moja usije kushika talasimu lililonuiwa kwa ajili ya mtu kama halikuhusu achana nalo especially kwa wanawake wanaopenda ku sachi wanaume
Jamani jamani hizi ni shirki jiepusheni nazo ohoooo mtakuja kuishia pabaya jmni

Hivi kwa akili ya kawaida tu karatasi ilochorwachorwa ayo maneno inaweza kukukinga ww mtu mzima kabisaa ,dah kweli imani hii inapotosha wengi sana

Msije mkafikia hatua kma wale wa kenya kule

Endeleeni kuamini ivo vitu ila Mungu anakusubirini na Adhabu yake kali sanaa
 
Back
Top Bottom