DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
Wewe ndo mchawi mwenyewe, hutaki wenzako wapone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa katapeliwa na wajanja...Wewe bado Kuna vitu vingi huelewi,
Sawasawa..Ogopa sana hao wanaojifanya, au kuita wenzao wachawi, kwani hao ni hatari zaidi ya wachawi, trust me!
Imani ya hakika ya 100%,kama binadamu ni ngumu kuwa nayo,kuweza kuhimili husda za kilimwengu, Amini hili, (Utakapo kuwa na imani kidogo sana kama punje ya haridali unaweza kuuamuru mlima uhame na ukatii)Kama hupendi shirki pia achana na zinaa, yote ni machukizo kwa Allah,
AiseeImani ya hakika ya 100%,kama binadamu ni ngumu kuwa nayo,kuweza kuhimili husda za kilimwengu, Amini hili, (Utakapo kuwa na imani kidogo sana kama punje ya haridali unaweza kuuamuru mlima uhame na ukatii)
Ona kipimo tulichopewa na mungu,
Ndo wenzake waende mbinguni yeye anastarehe.....
Uaminiwe ww kma nani ?Ogopa sana hao wanaojifanya, au kuita wenzao wachawi, kwani hao ni hatari zaidi ya wachawi, trust me!
Ushirikina ni MBAYA sana.Uaminiwe ww kma nani ?
Uchawi upo na unafanya kazi sasa kwanini wachawi wasiwepo
Ttzo la uchawi linagombanisha sana jamii,mauaji,husda na chuki baina ya jamii ndo mna tunapinga uchawi kwa nguvu zote
Leo hii watu wangapi wamekimbia makwao na hawataki kurudi kabisaaa kisa imani za kishirikina.watu wanaacha majumba yao na kukimbia kusikojulikana ilimradi aishi salama
Watu wangapi leo hii wameuwawa kisa imani za kishirikina? Hlf unataka likaliwe kimya hili suala?
Acheni ushirikina jamani mtaishia pabaya
Leta andiko la Biblia kuthibitisha hayo uliyoyasema.Umkukubali kwa alivyosema kuwa yeye ni Mtume wa Mungu ?
Oya wewe uchawi upo sio kila mchawi anabeba tunguli, kwa taarifa yako usilolijua huyo Mwenyekiti wako wa mtaa, Mjumbe wa nyumba 10, Diwani wako mpaka Mbunge wako bungeni wote ni wachawi, Sasa usianze kuniuliza uchawi ni nini?niwarahishie tu kwamba huu ni UCHAWI
Ila lazima ujue ushirikina upo na unafanya kazi, kujifanya huamini ushirikika na hujui kama upo wakati ushirikina umeandikwa hadi kwenye vitabu vitakatifu kuwa ulikiwepo basi utatudanganyaHakuna kitu sipendi hapa chini ya jua kama Imani za kishirikina. Kuna siku mzazi mwenzangu aliniambia anahisi Nina demu mpya na anamchezea sijui. Kuanzia siku hiyo nilimblock Kila sehemu sitaki kujua chochote kuhusu yeye.
Hujalazimishwa kumfuata MWAMPOSA , ni kwa kutoelewa kwako ndio maana unanunua upako, maji na mafuta.Huko nako kumeingiliwa, wakina mawamposa na mafuta yao pamoja na maombi yao ya laki 5 kwa kichwa yanatia aibu.
Ninaamini kwa asilimia zote hii kitu ipo kwani hata ofisini kwetu naona watu wengi mpaka maboss wanaamini/ kufanya Mambo hayo. Wanafika mbali mpaka kunishawishi kuingia katika Imani zao hizo lakini kiukweli kutoka moyoni SIPENDI hizi Mambo hata kidogo na sikuwahi kuwaza kuwa mmoja wa waumini.Ila lazima ujue ushirikina upo na unafanya kazi, kujifanya huamini ushirikika na hujui kama upo wakati ushirikina umeandikwa hadi kwenye vitabu vitakatifu kuwa ulikiwepo basi utatudanganya
Usishiriki shirki ila amini shirki ipo.
Wamaalifatu dinu biadila.Mkuu ndo mana sisi waislamu wa Sunni(Salafi) tunawapiga vita sana masheikh hawa mchongo
Kma ulivosema ni kweli hapo ni uchawi tu huo hamna kitu kingine na Mungu katika kitu ambacho hakipendi ni shirki
( وَلَقَدْ أُوحِيَ إِلَيْكَ وَإِلَى الَّذِينَ مِن قَبْلِكَ لَئِنْ أَشْرَكْتَ لَيَحْبَطَنَّ عَمَلُكَ وَلَتَكُونَنَّ مِنَ الْخَاسِرِينَ )
الزمر (65) Az-Zumar
Na kwa yakini yamefunuliwa kwako na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima utakuwa miongoni mwa wenye kukhasiri.
Kuna watu wanauchukia Uislamu kisa hawa masheikh wa mchongo humu pia wamo wanajifanya kutafsiri ndoto sijui nn ni uongo mtupu
Hua nashangaa sana kuona mtu akiamn ujinga huu.Leo wachungaji wa mchongo kina Mwamposa na mafuta yao tuwapumzishe kidogo tuangalie upande mwengine
![]()
![]()
View attachment 2603934
Nimekuwa katika magroup ya tiba naona kuna hivi vikaratasi watu wanapewa ama kuelekezwa kuvichora na wa kuitwa mashehe wakiwaambia ni tiba, ulinzi, kuongeza, mvuto, n.k. niwarahishie tu kwamba huu ni UCHAWI!!
Kama ni ya matibabu ya kiroho kama kurogwa, hakuna anaeweza kutibu zaidi ya Allah bega jwa bega na dua, vifungu, rukya .
Kama ni kwa kujilinda, maandishi au michoro haiwezi kukulinda, Ni imani yako kwa Allah ndiyo inayokulinda pamoja nawe kupiga dua, kunukuu vifungu vyake.
Maneno ya korani hayapo kwajili ya kuchanganywa na michoro ama maneno mengine kwenye kijikaratasi, huo ni ushirikina wa kumshirikisha Allah na vitu vya ajabu ajabu, Allah hawezi kusaidiai hapa bali hayo maneno ya quran yanazuga tu ili ile michoro mingine au maneno ndio vitumike, hayo maneno hata ukimpa muarabu ni ngumu sana kuyatambua, ni lugha za kishetani
Ukipewa hivi vitu pindi unapotoka tu njiani chana chana kabisa tupa kule visiiingie nyumbani kwako na kama ulibebea mfukoni hio nguo choma kabisa
Uchawi si ushirikina,ni uelewa mbaya tu juu ya shirki,malaika walifundisha uchawi hawakufundisha shirki,wanaoitwa washirikina kwenye Quran walikua wakiabudu sanamu,acha kujitia una elimu Sana na umeongoka na usalafi wako mnaogeuza wanazuoni kuwa miungu kwa kufuata fatwa zao badala ya QuranMpka hpa upo mbali sana na Elimu
Hta nikwambie vipi hutoweza kunielewa
Kwaio muombe Allah akupe ufahamu wa kuijua haki
Salafi wanawanukuu Sana wanazuoni katika kipi kifuatwe kipi kidifuatwe(fatwa) badala ya Quran..huko ni kigeuza wanazuoni kuwa miungu badala ya Allah,na Allah kaonya Hilo kwenye Qur'anWamaalifatu dinu biadila.
Manhaji iliyosalimika.
Me ni nawakubali sana masalafi sema dunia tu inanihadaa sana.