Ukienda kwa shehe akikupa vikaratasi kama hivi uwe unavibeba ama kuviweka chumbani vichane na usirudi tena kwake, ni uchawi mtupu

Nilikwambieni mimi huyu jamaa ni mshirikina tu hafai

Nadhani mumejionea wenyewe
 
We mshirika funga bakuli lako ilo na ukifariki na ushirikina wako huo ni moto tu hakuna msamaha mbele ya Mungu
 
Ety unifundishe bitcoin

Sasa mm na ww nani anaetafuta hela? Yni mpk unaingia kwenye upumbavu wa bitcoin inaonesha kabisaa huna uliwezalo kufanya zaidi ya kutapeli watu

Ety hlf unisomee nyota? Ivi una akili lkn ww?

Unashindwa kumiliki ata baskeli hlf uje kumiliki nyota pumbavu kabisaaa

Endelea kutapeli wajinga wenzako sio ss tunaojitambua
 
UNAFAHAMU NINI KUHUSU ELIMU YA NYOTA

[emoji2424]SHEIKH ABU HASHIM حفظه الله

 
UNAFAHAMU NINI KUHUSU ELIMU YA NYOTA

[emoji2424]SHEIKH ABU HASHIM حفظه الله


Sikilizeni masheikh wanavoeleza sio kudanganywa na watu kma hawa Akina Rakims
 
We mshirika funga bakuli lako ilo na ukifariki na ushirikina wako huo ni moto tu hakuna msamaha mbele ya Mungu
Sawa wewe si ndio mwenye kiti chake cha enzi unampangia nani anaingia motoni na nani anabaki...

Mimi lazima nikukalie motoni kwenye kichwa kwa maana wewe ni agent unapeleka watu huko..

Rakims
 
Umejiona ulivyopunguani?
Dogo hunijui nyamaza...

Rakims
 
Sikilizeni masheikh wanavoeleza sio kudanganywa na watu kma hawa Akina Rakims
Wewe nimekujibu kwa fact unaleta uzushi yani mimi muislam nisitosheke na Quran na Sunnah za mtume nikakae nasikiliza mashehe ambao wanauana wao kwa wao kisa mwezi umeandama au hujaandama?

Dogo itumie vizuri jamii forum..

Ni forum tosha ambayo inaweza kukuamsha kutoka usingizini

Rakims
 
Qur-an na Sunna za mtume ndo zinatufundisha tutumie matalasimu?
Hebu nionyeshe aya au hadithi ata moja inotufundisha hivo

Acha kubabaisha watu ww uonekane mwema kumbe mshirikina tu

Wapi mtume katufundisha kutumia Elimu ya nyota/unajimu?

Ukinifundisha aya au hadithi ata moja inotwambia tufanye hayo apo sasa tutakua pamoja la sivyo uache shirki kijana maskini huwezi miliki ata baskeli ety unamiliki nyota hhhhhhhh wajinga tu ndo utawapata
 
Umejiona ulivyopunguani?
Dogo hunijui nyamaza...

Rakims
Kwamba utaniroga na Elimu zako hizo?
Unanitisha nn sasa
Hya tumia nyota zako sasa kuninyamazisha

Watu mumejaa ushirikina,mahirizi ety hlf ndo wamfuata mtume ww

Wajinga ndio waliwao
 
Huwezi kuwa sheikh bila kufuga majini ama kufanya uchawi, never. Siwaamini kabisa masheikh na sipendi kudeal nao, washirikina sana.
 
Mwongo mkubwa wewe....

Mwerevu huwa anapenda kujifunza hata kama alikuzwa kuchukia baadhi ya vitu....

Kiarabu ni lugha kama lugha nyingine tu na ulivyo zamwamwa wala hujui kuwa wako waarabu mamilioni WASIOKUWA waislamu na wasiokuwa na dini kabisa......
 
Uchawi ni maarifa, vitabu vya manguli wanaita wisdom.. hapo tunaongelea (magic, alchemy, astrology, occultism, spelling, nk) na maarifa yana vyanzo vyake. Sasa hapo inategemea ni uchawi mzuri au mbaya? Maana hata manabii walikuwa wanatumia uchawi mzuri kuponya watu na kujilinda.
 
Tarasimu hizo. Zilimfelisha sana ndogo wangu
 
Majiuliza tuu, kwa nini watu wakikariri maandishi ya kiarabu na kubobea hatima Yao ni kuuza madawa ya kienyeji nje ya misikiti na wengine kuwa waganga wa kutumia maandishi hayo hayo ya kiarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…