Ukienda migodoni, hasa hii local ndipo utajionea mambo ya ajabu na watu wa ajabu

Ukienda migodoni, hasa hii local ndipo utajionea mambo ya ajabu na watu wa ajabu

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Huko Shinyanga watu takribani 25 wamekufa kwa kufunikwa na kifusi. Hii si mara ya kwanza. Inatokea mara kwa mara. Na vifo vingine hata kwenye vyombo vya habari havitangazwi.

Watu wa migodoni wana roho za ajabu, ni kama wanyama.

Yaani ikitokea duara (shimo) limeua huo usiku watafurahi sana. Tena wakifa watu wengi na wao furaha yao inaongezeka.

Pombe zitanyweka kama maji, uwe na pesa usiwe na pesa utakunywa maana furaha ya wachimbaji inakuwa peak.

Huko Chunya underground wakikutana na chungu cha dhahabu watapigana masululu wauane mmoja au wawili wanatoroka na mzigo. It's normal.
 
Vifo vya watu wengi kwa mkupuo mmoja hutokea pale ambapo chimbo ni jipya. Hapo panakuwa hakuna uongozi wa kudhibiti usalama wa wachimbaji.
Mgodi kama umekatiwa leseni, vifo hupungua na ikitokea, basi ni uzembe wa utawala ama mchimbaji mwenyewe aliamua kujiripua kwa kuingia kwenye duara ambalo lina viashilia hatarishi.
 
𝑰𝒕𝒂𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒏𝒊 𝒘𝒂𝒍𝒆 𝒘𝒂𝒍𝒐𝒄𝒉𝒂𝒏𝒈𝒊𝒂 𝒃𝒊𝒍 16 𝒌𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒉𝒂𝒓𝒂𝒎𝒃𝒆𝒆 𝒚𝒂 𝒌𝒊𝒏𝒂𝒇𝒊𝒌𝒊
 
Back
Top Bottom