Ukienda Mjini kutafuta Maisha hakikisha unafanya haya

Ni swala la kulegeza fuvu na Akili material yaingieπŸ˜ƒ
 
Taikon. Ushaur wako ukoje wa kijana graduate(me) anaetaka kwenda kujitegemea ila mzaz kama hatak iv.?lin unatakiwa kuwa na mpnz maan kununua ni hatar mzee.

Naam Mkuu.

1. Hakuna umri specific wa kujitegemea.
Ila ukishafikia hatua ya kuhitaji Uhuru wako basi ujue umefikia umri huo wa kujitegemea.

2. Unaweza kujitegemea ukiwa hapohapo nyumbani, hasa kama umezaliwa pekeako. Lakini kama mpo wengi inaweza ikawa ngumu kwani ni rahisi kuzuka migogoro na Ndugu au wazazi wako mkiishi pamoja.
Labda muwe na Boma kubwa lenye partition kila mmoja apewe yake. Lakini kuishi sehemu moja Kwa pamoja bila mipaka ya umiliki Kwa kila mmoja ni kuzua mizozo.

3. Wazazi kama wanahoja ya wewe kuishi hapo wasikilize.
Hoja hizo lazima ziwe katika kutimiza ndoto na matarajio yako katika Maisha.

4. Kuwa na mpenzi unakuwa naye mara tuu Baada ya kubalehe na ukajiona unauhitaji kimwili na Kiakili na kiuchumi upo vizuri kiasi basi unahitaji kuwa na mpenzi.
 
Haya ndio Mambo ya kuandika sasa ila utapata likes chache kwa sababu watu WANAPENDA upuuzi zaidi ya vitu vyenye msingi, kv Uzi wa ulushawahi kula tunda kimasihara?
 
MJINI NENDA NA AKILI TABIA utazikuta, ( in MANDONGA VOICE )
 
Hayo yote uliyoorodhisha hayana maana coz sijaona sehemu yoyote uliyomtaja Muumba mbingu na aridhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…