Ukienda Mjini kutafuta Maisha hakikisha unafanya haya

Ukienda Mjini kutafuta Maisha hakikisha unafanya haya

Hii ni kweli,ukitoatoa shahawa bila mpangilio zinaondoa kinga na nguvu ya mwili kiroho..wanawake Wana gundu Baya Sana!
Dah sasa kulingana na ushauri wa Robert Heriel ni bora uwe na ka bajeti ka kununua mbunye kupunguza genye sasa hapo inakuwaje mkuu. Mimi nime changanyikiwa hapo sielewi
 
Dah sasa kulingana na ushauri wa Robert Heriel ni bora uwe na ka bajeti ka kununua mbunye kupunguza genye sasa hapo inakuwaje mkuu. Mimi nime changanyikiwa hapo sielewi
Sasa nn kinakuchanganya hapo??
Lengo la kutokua na demu ni ili kuweza kubajeti pesa yako na kufikia malengo. Mfano ww kila sku unaingiza 10k lakn demu yy mara aombe 30k ya saloon, mara aombe 100k ya kodi, mara mamake mgonjwa je hapo utafikia malengo??

Lakn ukinunua malaya n rahisi kudraft bajeti,, labda unatenga 50k kila mwez kwa ajili ya malaya,, tofauti na ukiwa na demu mda wwte anakupiga kizinga.
 
Hapo nimekuelewa bila shaka mkuu sasa narudi kwa hoja ya mkuu Futuza hapo juu ya kuwa kutoa toa shahawa hovyo ni kupoteza kinga ya mwili na kiroho (ipo kiimani zaidi though) ndio mana nikasema nipo dilemma je nigonge proschucha ambaye kiroho sio nzuri au niwe na demu japo napo Kiuchumi ni kichomi tupu
 
Sijawahi kusoma bandiko murua kama hili...hakika taycooon umeupiga mwingi.
 
WE MWAMBA MUNGU AKUWEKE SANA ILA UNGEKUWA UNAPOSTI KWA NJIA YAVIDEO UKO YUTUBU PIA ILI WATU WAPATE HAYA MADINI
 
Nimekusoma kindakindaki, brother so, najifunz kitu kwak now, na nimeelewa nimekukubali sana shukran kwa ujumbe wako.
 
Huna baya Robert, uko vizuri umetembelea humohumo nilipokua mimi, pia muhimu kuepuka kupata watoto ukiwa bado ground, inakata sana hii
Naunga mkono hoja ,Hilo la kuwa na mtot ukiwa Bado ujimudu Ni changamoto sana
 
Moderator mpeni cheo cha Platinum huyu jamaa ana madini mazito sana
Utashanga kina genta na mzee Mohamed said ndio wanaenda kupewa tuzo na zawad mbalimbali wakt Taiko wa fasihi Yuko tu

Kina mzee said wanagawa watu kwa udini na genta anatukana kila member ajbu wanapewa tuzo
 
Back
Top Bottom