Ukienda Mjini kutafuta Maisha hakikisha unafanya haya

Ukweli kwa 99% nimependa kipengele cha kutowaambia watu kama umesema maana hivi imenikuta sana mwanzo niliona nitaheshimika nikiaishia kuwa case study
 
Kiongozi pamoja na u-motivesheno supika wako lakini mengi umesema kweli! Vijana wajitahidi kupita humo humo hata kwa asilimia ndogo watafanikiwa! Vijana wengi kutoka vijijini wanakuja mjini lakini hawataki kutumia nguvu zao! Kwangu tulileta watoto wa sister kwamba tuwasaidie kumbe tumeleta mifugo nyumbani! Tuliwarudisha kijijini walikozoea kula-kulala!
 
Wajuzenna WAKIRUDI vijijini pakiwashindanwafanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ