Ukienda NSSF kupata huduma lazima umkumbuke Hayati Magufuli

Nenda manispaa pia utafurahi
 
Nssf wapumbavu sana. Wamesababisha hasara maishani mwangu. Sitasahau nilivyoshindwa kumudu gharama za matibabu wakati wamekalia stahiki zangu. Mungu awalani kuanzia Bodi yao, Hadi karani wao ofisi za Nssf Kigoma-Ujiji.
Walaaniwe. Amina
 
Hao ni kawaida yao mbona?
Hawajawahi kuwa serious na kazi wanayofanya wala kumjali mteja. Tangu kipindi mwendazake akiwa kwenye usukani, mwendo wao ndo huo huo. Hao hawakulipi pesa yako kirahisi hadi utibuane nao kweli kweli.
Mimi kuna hela yangu kunilipa ilibidi hadi niandike a very angry e mail kwa operations director wao huku nikiwa nime attach voice recordings za majibu yao nilipokua nimeenda kwenye ofisi zao (nilivyokua naongea nao kumbe nilikua nawarekodi wakati wao wananipa majibu yao ya kunya). Walilipa hiyo hela huku wakiniita majina ya kila aina (mnoko, mtoto wa wakubwa, mpiga kelele, etc).
Wapuuzi tu hao.
 
Wewe kweli ni Zuzu, Tena iyo ela hata usipewe, wai ukamfufue uyo mungu wenu JPM
 
Mimi nilichukua mafao yangu enzi za mwendazake. Aisee Bora hata Sasa. Kipindi Cha mwendazake ndio ilikua balaa.
Hapo ubungo kile kidada Malaya kinachotembea na wakubwa, kile kinacho kaanga sumu chenye damu chafu bado kipo?
Dogo umekosea sana kumtukana. Ni mama watoto wangu
 
Shetani hakumbukwi aseee.
 
Umemaliza yote. SUKUMA GANG capo kwenye PANICK MODE
 

 
Kwa taarifa yako mifuko hii aliyeiua ni mwendazake alichukua mpunga wote akaenda kununua Ndege na kugharamia miradi mingine,SSH aliongea vzr sana kwenye hotuba yake ya kwanza,mifuko haina ngawila.
 
Kwamba Mabadiliko yaliyoleta Kikokotoo hiki Kipya kinachowataka Watumishi kusubiria mpaka wafike umri wa Miaka 55 ndipo walipwe Pensheni zao yamefanyika chini ya Utawala wa Kikwete hilo sio Kweli.

Hebu jikumbushe vyema ndugu.
 
Ujinga ni kipaji.

Ulitakiwa upate pesa yako yote ila leo utapokea only 33.3% ya pesa zako zote na bado unamkumbuka kwa mazuri aliyekusababishia hali hio.
Nasikitika anasifia mtu aliyeharibu NSSF, hukutakiwa kupata 33% bali ulitakiwa kupata 100%, hela ni yako kwa uroho wa huyo unaemsifia aliharibu NSSF kwa kukomba hela yote na kuweka kanuni za ajabu
 
Wanasema aliekutwa na mkia ndo mla mbuzi bt issue ya kuunganisha mifuko wala haikua ya mwendazake, kaikuta mezani akaamua kuimalizia.
Matatzo yote ya hii mifuko yalianza enzi za Mkapa alipoamua kuwaingiza pspf wafanyakazi wa waliokua wanalipwa mafao na hazina bila kupeleka mafao yao pspf...matokeo yake pspf ikaelemewa na madeni. To make the matter worse
1.Mifuko ikawa inafanya uwekezaji usio kua na tija
2. kua na formula za kikoto zinazoiua hio mifuko...
3. Serikali kukopa bila kulipa, e.g. University of dodoma yote imejengwa na fedha za mifuko ya jamii na deni halijalipwa

Alichokifanya JK ni kuunda social security regulatory authority(SSRA) ili ku regulate hii mifuko, bt pamoja na ku regulate pspf bado ilibaki hoii, ikabidi ije hoja ya kuinganisha hio mifuko angalau kuipunguzia mzigo pfspf, task iliyokua inaratibiwa na SSRA...
JPM akaja kumalizia zoezi ila pamoja na kuinganisha SSRA ikaona fao la kujitoa bado linaiumiza hii mifuko maana mifuko bado haina ukwasi wa kujiendesha.

Nini kifanyike:
Serikali ilipe madeni iliyokopa kwenye hii mifuko na ilipeleke pesa za wastaafu ambazo haijapeleka...Otherwise ht mama tutamlaumu bure maana tunazungumzia matirioni ya pesa na akiyapeleka huko sekta nyingine lazima ziyumbe...JPM alijitahidi kupeleka ka 1T plus ( km kumbukumbu zangu zipo sahihi) ila wapi hali bado ikabaki kua mbaya.
 
Ndio maana nikasema uchawi upo.Ebu jielimishe vyema ninani kati ya Magufuri na Kikwete alipndoa fao la kujitoa.

Magufuri ndiye aliondoa fao hili baada ya kuifilisi mifuko kwa miradi yake ya ajabu ajabu.
 
Huna akili
 
Ndio maana nikasema uchawi upo.Ebu jielimishe vyema ninani kati ya Magufuri na Kikwete alipndoa fao la kujitoa.

Magufuri ndiye aliondoa fao hili baada ya kuifilisi mifuko kwa miradi yake ya ajabu ajabu.
Ila sisi binadamu tuna roho ngumu sijui mbaya, yaani Magufuli alivyoharibu nssf vile nimsifie. Labda sifa za kuharibu na kwa ku impose kanuni za ajabu ajabu, ni sawa sawa na upande wa bodi ya mikopo.
Magufuli alikuwa hajali kabisa hali za watu wake, alikuwa mnyonyaji mkubwa aliye tamani kumiliki hela yote ili wananchi tupige magoti kwake.
 
Ujinga ni kipaji.

Ulitakiwa upate pesa yako yote ila leo utapokea only 33.3% ya pesa zako zote na bado unamkumbuka kwa mazuri aliyekusababishia hali hio.
Hapo sasa ndio utajua umbumbumbu wa watanzania. Tumejaa unafiki wa hali ya juu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…