Wafuasi wa Jiwe watakuwa wagonjwa, sio bure!!
Hapa JF kuna nyuzi lukuki za kuilalamikia NSSF over the past 5 years, bado mtu anakuja na kusema angekuwepo Jiwe!!
Yaani hata sakata la Yanga na Simba la majuzi bado utawasikia "...angekuwepo Magufuli hapo hapo angewapigia simu TFF"
Ndugai kanajisi katiba, sheria na kanuni za bunge wakati JPM yupo hai halafu leo anatokea Mwendawazimu mmoja anasema "...angekuwepo Magufuli angepiga simu kuwakaripia TFF"
Jiwe mwenyewe kavunja sheria kibao tu na kuinajisi katiba mara kadhaa, halafu anatokea mwehu mmoja anasema "...angekuwepo Magufuli angewakaripia TFF!"
Yaani wanaona kanuni za TFF ni bora kuliko kanuni kanuni na sheria za bunge pamoja na katiba!
Are you STUPID?!
Mkuu
Erythrocyte, nakubaliana na wewe ni kwanini zamani Watumwa walikuwa wanazikwa hai na mfalme wao!!
I hate to say this lakini ukweli mchungu ni kwamba, kupoteza mbuzi mmoja pale Vingunguti au hata kuku mmoja pale Kisutu, ni hasara kubwa kwa taifa na ustawi wa dunia kwa ujumla kuliko kupoteza Misukule 100 ya JPM!