Sasa kwa mujibu wa maelezo yako! huyo si mwanao? kwahiyo una nidhamu ya uoga sio?" yaani unamuogopa shemeji yako na mtoto pia? hapo si kwako! nakukazaba kibao ukaambie kaache ujinga unasubiri nini? hapo inaonekana we sio baba ni house boy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.