sungwa.j JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 559 Reaction score 570 Apr 18, 2023 #221 Sasa kwa mujibu wa maelezo yako! huyo si mwanao? kwahiyo una nidhamu ya uoga sio?" yaani unamuogopa shemeji yako na mtoto pia? hapo si kwako! nakukazaba kibao ukaambie kaache ujinga unasubiri nini? hapo inaonekana we sio baba ni house boy
Sasa kwa mujibu wa maelezo yako! huyo si mwanao? kwahiyo una nidhamu ya uoga sio?" yaani unamuogopa shemeji yako na mtoto pia? hapo si kwako! nakukazaba kibao ukaambie kaache ujinga unasubiri nini? hapo inaonekana we sio baba ni house boy
Shedii JF-Expert Member Joined Dec 18, 2020 Posts 536 Reaction score 661 Apr 18, 2023 #222 Kwa sababu umepewa ruhusa na Mama yake tia kwenzi mbili tatu katatulia tu