Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Zawadi huleta mapenzi baina ya watu!! Hata kwenye ndoa , mume usirudi mikono mitupu kwa mkeo ifikapo jioni. Beba walau zawadi ndogo ya pipi ,tunda kama apple au hata chupi .Kisha mwambie mkeo kuwa nimeleta hii zawadi kwaajili yako
Utaona jinsi mapenzi ya mkeo yatakavyoongezeka kwako. Kuna watu wakizaa huamishia mapenzi yote kwa watoto zao na kusahau wake zao!! Ukiwabebea watoto zawadi hakikisha na mkeo nae umembebea zawadi yake special.