Ukienda ugenini usiende mikono mitupu!

Zawadi huleta mapenzi baina ya watu!! Hata kwenye ndoa , mume usirudi mikono mitupu kwa mkeo ifikapo jioni. Beba walau zawadi ndogo ya pipi ,tunda kama apple au hata chupi .Kisha mwambie mkeo kuwa nimeleta hii zawadi kwaajili yako

Utaona jinsi mapenzi ya mkeo yatakavyoongezeka kwako. Kuna watu wakizaa huamishia mapenzi yote kwa watoto zao na kusahau wake zao!! Ukiwabebea watoto zawadi hakikisha na mkeo nae umembebea zawadi yake special.
 
Je Kama huna hizo zawadi inakuaje au tuendelee kukaa huku Bukoba tulime mpunga?

Huwezi kosa Zawadi.
Kama unafanya kazi huwezi kosa Zawadi ya kupeleka Huko unakoenda.
Labda uende Kwa matatizo tuu. Na ukienda Kwa matatizo nimeshatoa mifano ya Musa na Yakobo. Na ikiwa ni mgonjwa basi hiyo ni kesi nyingine
 

Ni Kweli Kabisa.
Zawadi huonyesha kujali na kuwajibika
 
Utakuwa mmoja wa wanaoenda ugenini mikono mitupu,Badilika mkuu!Aibu hata kwa waliokulea.
 

🙏🏾🙏🏾
Karibu
 
Ndo uende mikono mitupu?!!!

Wageni wanakujaga kwangu na huwa nawakataza kuleta vitu.

Mana nathamini uwepo wao na siyo vitu wanavyobeba.

utakuwa na njaa sana wewe. Nyie ndo ukisikia fulani anakuja unamuagiza mzigo wa canter aubebe kwa bus sijui mihogo,ndizi, udaga, dagaa na matunda ilii muyale hapo kweny kipindi akiwa anakaa hapo ili asijud kama kuna njaa kwenu
 
Acha hizo mkuu,mimi siendi kwa mtu bila zawadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…