Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Ungengoja uchaguzi wa 2024 upite ndio angalau ungeweza kusema hivyo. Haya mapendekezo yaliyoletwa hayazuii upuuzi huo na ule wa kukimbia ofisi ili asipokee fomu.Mambo ya kutekana na kuporana fomu yamezimika kama mshumaa
Amandla...