kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Mkuu embu yaweke hapa tuyajueKwanini waitoe? Yaani atakae jifanya anapekenyua simu yangu nitamrudia kama ghost nitamuwinda maisha yake yote.
Kuna magemu mengi sana nimeishia level za juu sitaki mtu ayaendeleze kisha aniaribie..