Ukifa leo nani atatoa lock kwenye simu yako?

Simu yangu nikifa na yenyewe itakufa tu hakuna anayejua lock yangu
 
Speaking of game za kwenye simu yaani huwa nashindana na watu online very addictive najikuta napanda level hadi naambiwa first to reach this level halafu napumua naangalia wengine nilipowaacha, napotea kama wiki kisha nikirudi nimepitwa napambana tena hadi nafika level ya juu...

Ila umenichekesha hiyo ya kumtokea atayechukua simu yako aahahahahhaaaa looh.

Game gani hizo tujaribu nasisi
 
Back
Top Bottom