Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Speaking of game za kwenye simu yaani huwa nashindana na watu online very addictive najikuta napanda level hadi naambiwa first to reach this level halafu napumua naangalia wengine nilipowaacha, napotea kama wiki kisha nikirudi nimepitwa napambana tena hadi nafika level ya juu...
Ila umenichekesha hiyo ya kumtokea atayechukua simu yako aahahahahhaaaa looh.
Game gani hizo tujaribu nasisiSpeaking of game za kwenye simu yaani huwa nashindana na watu online very addictive najikuta napanda level hadi naambiwa first to reach this level halafu napumua naangalia wengine nilipowaacha, napotea kama wiki kisha nikirudi nimepitwa napambana tena hadi nafika level ya juu...
Ila umenichekesha hiyo ya kumtokea atayechukua simu yako aahahahahhaaaa looh.
Game gani hizo tujaribu nasisi