Ukifahamu kuhusu "Prussian Education System" , utaelewa kwanini Likud nasema haifai watanzania kulipia mamilioni EMs

Inaniuma sana.
Inaniuma sana.

Yale mamilion bora tungenunua kiwanja
 
🤣🤣🤣🤣Unajua kuna watu una wachoma mkuu ukiongea hivi Kwa sababu ndio ukweli wao
Baada ya kujipata kiasi, tukasema ngoja nasisi tusomeshe shule nzuri.
Matokeo yake hilo toto limekuwa goigoi kuliko tuliowasomesha kayumba. Uwezo wa kufikiri zero.
Sasa mm najiuliza zile marks nzuri alizokuwa anapata huko shule mbona hazileflect kwenye maisha.

Mwaka wa nane huu lipo nyumbani tangu lihitimu chuo. Mda wote linawapiga vibomu wenzake.

Muda wote kuangalia series.
 
Poleni Sana mkuu. Je unaweza kufanya Tena kosa la kumsomesha mtoto kwenye shule hizo?
 
Joannah
 
Ujue kayumba inamtengeneza kuwa self defense, self actualization,yaani Kama ni predator anajua how to hunt in this jungle called life,mfano mie napenda mwanangu labda shule kidogo ya kijeshi, sipendi alelewe Kama yai, yaani ajengewe discipline beyond human capability aka USA army navy seal.
Akomae since akiwa mdogo so hata ukubwani hakuna kuhangaika. Sema chuo peleka akasome uchumi huko USA sijui chuo Gani kile..Ila hapa na hao watt
 
Fact
 
Mtoto kakulia kijijini,ka'associate' na uanakijiji kielimu na mazingira ghafla anapelekwa English Medium schools ambazo mtoto anakuwa under intensive care.michezo yake ni guided.Exploration itakuwaje?Mtoto wa kiume wa leo car toys mzazi unamnunulia atakuwa inovative kweli?Nakumbuka utotoni tulikuwa tukishindana kuumua magari na leo hii naona ubunifu ndiyo maisha,sasa watoto delicate namna hii taifa lijivunie hazina? Kuiba maembe,mapera kwa wamiliki wakali,kuchapwa fimbo siku ukibananishwa ndiyo hekima ya leo ukubwani.Kuibiwa kalamu na madaftari ndiyo kuchangamshwa akili.Kugombania kiti shuleni,kum'treak' mwalimu mkali nk.yote hayo ni katika kujenga akili kupitia elimu katika mfumo usiyo rasmi.Hizi english medium schools zatengeneza watoto wa aina gani?
 
Inaniuma sana.
Inaniuma sana.

Yale mamilion bora tungenunua kiwanja
Alafu CIRCLE OF POVERTY inaendekea wewe tena unapeleka mtoto EMS badala ya kununua assets😁😁😁

Lazima ujikute unaishi kwenye squatters huko NYUMBA KALI UMEJENGA KWA MKOPO ila kiwanja hakina njia😬😬😬

Leo hii watu wanashindwa kuwekeza kununua ardhi huko SIJUI MAKURUNGE BAGAMOYO ardhi tambarare imenyooka.Alafu inafika 2035 mji umefika MSATA Mbweni imeshakuwa ya wastaafu hakuna jipya tena. Nyumba mpya zipo huko MSATA viwanja millioni 25 mtu anaanza kujuta KUWA ALIPOTEZA HELA BURE HUKO EMS.

MASKINI WA KATI( MIDDLE INCOME DWELLORS)muwe mnajisomea vitabu vya FINANCIAL EDUCATION mtaongeza kitu kuhusu elimu ya pesa na jinsi ya KUIMILIKI pesa.Acheni kuwa vituo ambapo pesa inapita haikai😁😁😁.Ukipata pesa hakikisha inakaa inazaa ndo uwaze kuitumia. Nyie wasomi wajinga mnapata hela mnakimbiza kwa MGETTA🤗🤗🤗😂😂😂
 
Ukitaka upate toto lenye hulka za kuku wa KISASA( BROILA) peleka huko EMS.

Mtoto anawekewa mipaka ya nini katika UMRI wake wa kufanya EXPLORATION.Yaani mtoto anachungwa analindwa utasema mboni ya jicho😂😂😂😂
 
Kwahiyo wakienda kayumba ndio kiingereza chao kinakua kimenyooka?


Nadhani wewe na mleta mada ni mapungu au mshajikatia tamaa kwa sababu ya umasikini.
 
100% Fact umeongea bonge la point mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…