Ukifahamu kuhusu "Prussian Education System" , utaelewa kwanini Likud nasema haifai watanzania kulipia mamilioni EMs

Ukifahamu kuhusu "Prussian Education System" , utaelewa kwanini Likud nasema haifai watanzania kulipia mamilioni EMs

Mpambano mkali sana but all in all English muhimu
English ni kama kisukuma tu pale Nyamanoro
Kwahiyo wakienda kayumba ndio kiingereza chao kinakua kimenyooka?

Nadhani wewe na mleta mada ni mapungu au mshajikatia tamaa kwa sababu ya umasikini.
Hujamuelewa alichokisema. Rudia kusoma upya Tena utamuelewa vizuri Wacha makasiriko
 
Ukitaka upate toto lenye hulka za kuku wa KISASA( BROILA) peleka huko EMS.

Mtoto anawekewa mipaka ya nini katika UMRI wake wa kufanya EXPLORATION.Yaani mtoto anachungwa analindwa utasema mboni ya jicho😂😂😂😂
100% Fact.

Wanawalea kizungu watoto wa kiafrika ili waje waishi kama wazungu ndani ya Afrika huku wao wakiwa ni waafrika. Yani watanzania wana akili ndogo Sana mkuu.
 
Kwani mkuu mbona unahangaika sana na hii ishu?

Wewe si ulishahamisha watoto wako kupeleka kwa kayumba mbona sasa kama unatapa tapa? Si uendelee na maisha yako?

Yaani kila siku mauzi haya haya, kwani kuna mtu kakulazimisha uwarudishe EM?

Yaaani unahangaika kuliko wenye watoto EM! Nadhani so long as hawajakuomba msaada wa ada wala ushauri,we potezea tu
Mpaka sasa madogo wapo home pima hasira za jamaa zitakuwaje......
Halafu sasa madogo wana maneno ya shombo kwa mdingi balaa kila mdingi akiwapanga hawaelewi wanarudia "tumeambiwa tusiende shule bila bank pay slip"
Mama chanja naye full kutema nyongo
Sasa kwa hali hii lazima jamaa afya ya akili iyumbe na nyuzi lazima zifunguliwe!!
 
Tutafute pesa blaza watoto wetu wapate vilivyo bora,tusijifariji
The most important person in any Em school is a parent who pay the fee.

So kama unasomesha huko basi jua kua kitu muhimu Kuliko vyote kwenye shule hizo Sio walimu Wala Sio majengo wala Sio masomo ila ni hela yako wewe.

Endelea kupigwa .

Bwege mtozeni
 
Umenishangaza. Kama msomi unapaswa kuwa na uwezo wa kujifunza Kwa watu wa aina zote na hali za aina zote

Kwa mfano Mimi nimejifunza hadi Kwa wachawi. Kwa wachawi nimejifunza kuwa msiri.

Wachawi huwa ni wasiri Sana na mchawi akitoa Siri huwa ana uwawa

So futa kauli yako
hahahahahahahaha
 
Mpaka sasa madogo wapo home pima hasira za jamaa zitakuwaje......
Halafu sasa madogo wana maneno ya shombo kwa mdingi balaa kila mdingi akiwapanga hawaelewi wanarudia "tumeambiwa tusiende shule bila bank pay slip"
Mama chanja naye full kutema nyongo
Sasa kwa hali hii lazima jamaa afya ya akili iyumbe na nyuzi lazima zifunguliwe!!
Wanakaa vipi home wakati wapo Kayumba?

You are just talking about yourself wewe ndo watoto wako wapo nyumbani wamerudishwa ada🤣🤣🤣🤣🤣
 
Makatazo ni mengi sana hii nchi.
 
Wanakaa vipi home wakati wapo Kayumba?

You are just talking about yourself wewe ndo watoto wako wapo nyumbani wamerudishwa ada🤣🤣🤣🤣🤣
Hata ya kayumba jamaa kaimudu sasa....ka vipi aseme tumuanzishie donee mambo yasiwe mengi, tumsitiri jamaa maana dah anaanzisha nyuzi kila baada ya muda mfupi mwishowe bando lake nalo likate halafu tuanze vipi mbona kapotea......kakata moto au....msongo wa mawazo mbaya.....
 
Una waza kitoto kitoto. Basi Kwa viwango vyako vya akili yako unadhani ume impact kitu kwenye mind yangu.
 
Back
Top Bottom