Ukifahamu kuhusu "Prussian Education System" , utaelewa kwanini Likud nasema haifai watanzania kulipia mamilioni EMs

Ukifahamu kuhusu "Prussian Education System" , utaelewa kwanini Likud nasema haifai watanzania kulipia mamilioni EMs

Hapa naona IQ (10) tupu inaongea, wewe ndo tunaweza kukaa meza moja hata kwenye kutafuta solution kwenye matatizo ya nchi yetu mana nafatilia sana thread zako xin mtu wa mkumbo unaongozwa na kichwa chako. ulichokisema ni kweli japo nilikuwa sifahamu hyo aina ya mitaala ila nilkuwa najiulza swali. mfano mimi nilitoka saint kayumba ya ndani kabisa nikachaguliwa kwenda vipaji maalum kwa mara ya kwanza hapo shuleni na ya mwsho kama sikosei na nikaenda kukutana na haohao wa english medium sasa mbona ni vilaza sana tena sio kwenye elimu tu mambo kibao nikajiuliza hyo faida ya kuwekeza pesa nyingi hvo af end product ndo unapata toto goigoi pia weak mindset si bora uanzishe hata mradi wa kufuga "karunguyeye' kwa ajili ya kuuzia wachina wanaozurura na wale wa mabonanza, tunahitaji mkombozi na bado hajapatika so kwa kipindi binadamu tumia akili yako ya kuzaliwa utapata majawabu mengi sana, kwanza EMs ni taasisi za kibiashara we angalia hata namna ya matangazo yao utaelewa ktu.
WASALAAM!!
Akili hii ndo inajinasibu kuwa na IQ kubwa, mara unaweza kukaa meza moja mkasolve matatizo blah blah blah!!
Akili hii ambayo imeona watoto X waliosoma private schools ni vilaza ika-assume wote waliosoma private schools ni vilaza na haijaconsider possibility ya wale waliosoma kayumba na bado vilaza eti inaamini itatusolvia matatizo yetu kwenye hili Taifa!!! You are all delusional
Mtu anakuja na mada zake sijuwi mambo ya Prussian tf!!! Watu wamesoma kwenye system hiyo hiyo na wakafanya mambo makubwa kuliko wewe unayefanya kazi kuponda system na hakuna kitu umefanya, hizi mimi naitaga kutafuta scapegoat.
Nimesoma Kayumba ila najua utofauti kati ya shule zetu na shule nyingi za private (sio zote). Mambo ya kuelewa, kuwa best kwenye field yako etc zinadepend zaidi na wewe mwenyewe!
Tafuta hela, Acha kukaa na masikini, be positive. I assure you, utaacha kulalamikia mfumo
 
Mention them so that we be sure that you are not talking about ghosts

Mpo wengi siwezi kumention hivyo yoyote aliyewahi kuja na hii falsafa anaingia hapo, mfano wewe apo ni mmoja wapo kwenye hilo kundi
 
Mpo wengi siwezi kumention hivyo yoyote aliyewahi kuja na hii falsafa anaingia hapo, mfano wewe apo ni mmoja wapo kwenye hilo kundi
Yes but sijalipa mamilioni mfumo huu wa Prussian Education System kama unaotolewa na NECTA ( Kayumba and Ems) haustahili kulipiwa hata senti 5.
 
Yes but sijalipa mamilioni mfumo huu wa Prussian Education System kama unaotolewa na NECTA ( Kayumba and Ems) haustahili kulipiwa hata senti 5.
Hoja dhaifu sana hii! Kama ni hivyo kwanini upige nyumba plasta? Kwanini uweke rangi ?? Kwanini utie tiles??? Kwanini uweke gypsum board badala ya ceiling boards?
Acha rough floor, usipige plasta wala rangi. Kwanini ugharamie vyote hivyo wakati mwenzako hajafanya hata hivyo na anaishi vizuri????. Kinacholimit vyote hivi ni pesa yako bro, kama huna uwezo acha wenye uwezo wafanye usianze kubeza
 
Akili hii ndo inajinasibu kuwa na IQ kubwa, mara unaweza kukaa meza moja mkasolve matatizo blah blah blah!!
Akili hii ambayo imeona watoto X waliosoma private schools ni vilaza ika-assume wote waliosoma private schools ni vilaza na haijaconsider possibility ya wale waliosoma kayumba na bado vilaza eti inaamini itatusolvia matatizo yetu kwenye hili Taifa!!! You are all delusional
Mtu anakuja na mada zake sijuwi mambo ya Prussian tf!!! Watu wamesoma kwenye system hiyo hiyo na wakafanya mambo makubwa kuliko wewe unayefanya kazi kuponda system na hakuna kitu umefanya, hizi mimi naitaga kutafuta scapegoat.
Nimesoma Kayumba ila najua utofauti kati ya shule zetu na shule nyingi za private (sio zote). Mambo ya kuelewa, kuwa best kwenye field yako etc zinadepend zaidi na wewe mwenyewe!
Tafuta hela, Acha kukaa na masikini, be positive. I assure you, utaacha kulalamikia mfumo
nahisi wew ni mwalimu au mlinzi au mhasibu wa shule fulani ya EM.
 
Nchi nyingi duniani zinafuata mfumo wa Elimu wa *Prussian Education System".

Tanzania pia tunafuata mfumo huo.

Hata hivyo nchi nyingi Sasa hasa zilizo endelea zimesha achana na mfumo huu.
Katika baadhi ya nchi hizo hizo mfumo huu unatumika sambamba mifumo / mitaala mingine mfano mtaala wa Cambridge.

Katika nchi hizo, Prussian Education System hutumika kwenye shule za Public na huwa ni bure ilihali mfumo wa Cambridge hulipiwa mamilioni.

Cha ajabu Sasa, Tanzania Kwa sababu watu wengi ni hawana uelewa wanajistress kulipia mamilioni kwenye shule za EMs ambazo zinafuata mfumo wa " Prussian Education System"

Ni changamoto kubwa sana Kwa Mtanzania masikini anae ishi Kwa kuunga unga kujistress kulipia mamilioni kwenye shule za EMs ambazo mfumo zinao tumia ni Prussian Education System.

Watu hawa wanazidiwa maarifa na wazazi wanao somesha Kayumba Kwa sababu Kayumba hawalipi hayo mamilioni na end product ni ile ile.

Shule pekee unayo paswa kulipia mamilioni ni shule inayo fuata mtaala WA Cambridge ambazo ada Yake ni kuanzia Dola elfu 16 mpaka 30 Kwa mwaka.

Google Prussian Education System. Soma vitabu vilivyo fanyiwa extensive research kuhusu Prussian Education System halafu ujione namna huhitaji kujistress kulipa mamilioni kwenye hamna.
Kikubwa wamalize chuo
 
Hoja dhaifu sana hii! Kama ni hivyo kwanini upige nyumba plasta? Kwanini uweke rangi ?? Kwanini utie tiles??? Kwanini uweke gypsum board badala ya ceiling boards?
Acha rough floor, usipige plasta wala rangi. Kwanini ugharamie vyote hivyo wakati mwenzako hajafanya hata hivyo na anaishi vizuri????. Kinacholimit vyote hivi ni pesa yako bro, kama huna uwezo acha wenye uwezo wafanye usianze kubeza
Huna hoja mkuu.

Nikanunue kiswaswadu Kwa shilingi laki 5 Kwa sababu kwenye akaunti yangu nina bilioni moja?

Nikihoji kwanini nilipe laki5 kununua kiswaswadu maana Yake ni kwamba sina hela?

Ndio point yako mkuu
 
Mfano wako ungemake sense kama post ingesema kuna watu wanasoma shule za Kayumba na wanalipa 5 Millions halafu eti na Mimi ningesema Yes walipe kwasababu wanahela.
 
kwani walikuomba uwalipie ada mbona unalazimisha sana?
wewe pambana na hali yako waachae wenyewe wapambane na hali zao.
🤣🤣🤣🤣

Yani huwa anateseekaa... Kama tunasaidiana ada .
 
Ujue kayumba inamtengeneza kuwa self defense, self actualization,yaani Kama ni predator anajua how to hunt in this jungle called life,mfano mie napenda mwanangu labda shule kidogo ya kijeshi, sipendi alelewe Kama yai, yaani ajengewe discipline beyond human capability aka USA army navy seal.
Akomae since akiwa mdogo so hata ukubwani hakuna kuhangaika. Sema chuo peleka akasome uchumi huko USA sijui chuo Gani kile..Ila hapa na hao watt
🤣🤣
Ego ni adui kweli na anakutafuna. Worse enough unawanyia watoto wako...

Rubbishh
 
Ishu ni kuwa mtt alipiwe ada Ila na elimu yake basi iwe tofauti kidogo yaani results ziwe za tofauti, walimuona Wenyewe ni WA ze ndio wanaomfundisha basi hata wangekuwa wazungu like finish teachers are best, ama mpeleke zile Nordic Schools pale masaki, Tanganyika school international mie nilipenda mwanangu asome hizo shule akutane na experience tofauti tofauti ili pia exposure ya mambele, watt wanatiliwa talanta zao Kama michezo,kuimba. Mie nilipenda mwanangu asome hapo Sina uwezo adi dakika hii kumlipia , Ila namlipia kufundishwa mchezo aka sports Kila siku 10k hapa isamilo international school, anaenda kwa wiki mara nne na Kila siku alfu kumi.

Kuna mdau akasema kuwa alipie kisaswadu laki tano kisa anayo bilioni moja kwa akaunti yake, wakati kisaswadu unakipata kwa 30-50k ni ujinga kujidhania kuwa u Bora kulipia iyo laki tano kuliko huyu aliyelipa 30k.
Wakati outcome ni the same or the same product.
Kama vuta apple phone nitajua kweli unayo phone ya maana Sasa/peleka mtt shule kwa mfumo wa Cambridge. Ila sio huu mtaala wa necta wa kufuata notice na kuzikariri kuwekwa kwenye basi, mara unalipia laki tano mahafali mara tour unalipia laki mbili na kwa lazima, mara msiba unaambiwa alfu hamsini unabakia kulia kulia, yaani unatumiwa kiisa ujinga wako, mie nimesoma kayumba, Kuna muda nishawahi fundisha hizo kayumba Kama miezi minne ivi hata hao watt niliwadharau.
Hawana la ziada yaani ni Ile tu EGO ya mzazi inakuwa masajedi basi anajiona Yu Bora zaidi ya mwenzake, twisheni wanabakia wanasoma kwa lazima, watu wanaumia kulipa ada kubwa ili tu basi na yeye Yuko juu Ila nakuambia hakuna kitu, mwanao atapata bachelor education atakuja kulipwa laki sita Kama wa kayumba tu.

Shule bana Kama unataka mwanao basi mbadilishe basi kabisa exposure ya mazingira ayapate mazuri, asomee hata nje,Ila sio hapa hapa anaongeleshwa na kulishwa mindset hizi za akina ze , yu nowo, I sinki, mpeleke hata Ghana, saizi Africa, India, angalau mtt atapata exposure tofauti
 
🤣🤣
Ego ni adui kweli na anakutafuna. Worse enough unawanyia watoto wako...

Rubbishh
Huwezi elewa ndio mana unakimbilia cheap conclusion Mana our mind don't think but only judge.
We need to build strong muscle discipline, mind is like physical the more you use it the the more it become stronger,
I need my kids to be strong disciplinary to do same thing over and over again.
Wawe wakakamavu, yaani ikiwekezekana asubuhi wanakimbia like 5km everyday, wajue kazi zote , wasiwe lelemama aka spoon feeder, they must be able to hunt for themselves, sio wawe dependant kuwindiwa ndio wapewe nyama wale.
Kuna mtu anaweza akajisomea kitu akakielewa mwenyewe anasachi through various resources mpaka wanafanikisha. That's the kind of kid I need , sio kuwa lazima Kila watu wafundishwe
 
📌WAZAZI ACHENI KUPOTEZA HELA,HAO WATOTO WENU WA "THIS","THAT" HAWANA KITU WANAPATA KUTOKA EMS ZAIDI YA KUTOKA NA BROCKEN ENGLISH!!!

📌ENGLISH MEDIUM SCHOOLS HAWAFUNDISHI KINGEREZA BADALA YAKE WANAWAKARIRISHA WATOTO WENU WAPENDWA KUTAMKA KWA KINGEREZA(WANAWAFUNDISHA MENTIONING).

KWELI HIYO NDO HUDUMA UNAYOLIPIA 2MILLIONS KWA MWAKA ONENI AIBU BASI😂😂😂😂LAFU AKIRUDI MTAANI ANAANZA KUONGEA KAMA HARMONIZE( KINGEREZA CHA WAMAREKANI WEUSI🤣)NYIE MNAONA MAMBO SI NDO HAYA MWENETU ANAJUA KIINGLISH🙌🙌

AMKENI MNAIBIWA KWA MGONGO WA KINGEREZA FEKI NA UFAULU WA KUKARIRISHWA MASWALI NA MAJIBU NA KUFANYIWA MTIHANI.

📌HIZO HELA WEKEZA KWENYE HISA,MASHAMBA,VIWANJA PRIME AREAS( LOW DENSITY),MTOTO AKIFIKA SEKONDARI MPELEKE ANGALAU SOUTH,INDIA AU MALAYSIA AKASOME ELIMU YA DUNIA!!!

📌FOCUS IANZE KWA KUWEKEZA PESA ZA KUJA KUWAPA MITAJI NA URITHI WA MALI KWA HAO AKINA JUNIOR WENU.KUPOTEZA MAMILIONI HUKO EMS KISHA ANAKUJA KUGOMBANIA INTERVIEW ZA TAMISEMI NI "UKICHAA".

MABASI YA NJANO NA TABU ZA TAMISEMI WAPI NA WAPI ACHIENI KAYUMBA HUKO TAMISEMI NDO MAZINGIRA YAO TANGU WADOGO.NYIE WAZUNGU PORI😄😄😄ANZISHENI MIRADI!!!
Shida yako ni kwamba umesoma kayumba ndio maana hata Mawazo yako yamekaa kikayumbakayumba na hayo ndio matunda ya kayumba na ccm hawakulifanya hilo Kwa bahati mbaya wamefanya kusudi Ili waendelee kukutawaleni nyinyi na watoto

Weka ushahidi hapa kama Kuna mtoto wa waziri yoyote unayemjua anasoma kayumba

Hata huyo waziri wa Elimu mtoto wake anasoma EM

Broo wewe huna hela Cha msingi tafuta hela
 
Walimu tu wa shule za St. Kayumbaz hukuti watoto wao huko, kila mtu akomae kuhakikisha mazingira ya mtoto wake yanakaa vizuri, kwa namna anavyoona inafaa.

Kuna mzazi hakutaka kupeleka watoto wake shule kwa sababu aliona elimu inayotolewa haiendani na mazingira ambayo anatamani mtoto wake awe wakati wewe unakomalia watoto waende hata hizo st. Kayumbaz

Wabunge na mawazili hukuti watoto wao st. kayumbaz hata hao wasimamizi wa elimu ambao wanazopitia chapuo hukuti watoto wao huko, hizo shule zimeitwa za Wanyonge, sasa ukikubali kuwa mnyonge chaguo ni lako tu. Cha msingi mtoto apate Elimu
 
Mfano wako ungemake sense kama post ingesema kuna watu wanasoma shule za Kayumba na wanalipa 5 Millions na Mimi ningesema Yes walipe kwasababu wanahela.
Si hao wanao somesha kayumba za kiingereza ( ems)
 
Back
Top Bottom