Ukifahamu kuhusu "Prussian Education System" , utaelewa kwanini Likud nasema haifai watanzania kulipia mamilioni EMs

Akili hii ndo inajinasibu kuwa na IQ kubwa, mara unaweza kukaa meza moja mkasolve matatizo blah blah blah!!
Akili hii ambayo imeona watoto X waliosoma private schools ni vilaza ika-assume wote waliosoma private schools ni vilaza na haijaconsider possibility ya wale waliosoma kayumba na bado vilaza eti inaamini itatusolvia matatizo yetu kwenye hili Taifa!!! You are all delusional
Mtu anakuja na mada zake sijuwi mambo ya Prussian tf!!! Watu wamesoma kwenye system hiyo hiyo na wakafanya mambo makubwa kuliko wewe unayefanya kazi kuponda system na hakuna kitu umefanya, hizi mimi naitaga kutafuta scapegoat.
Nimesoma Kayumba ila najua utofauti kati ya shule zetu na shule nyingi za private (sio zote). Mambo ya kuelewa, kuwa best kwenye field yako etc zinadepend zaidi na wewe mwenyewe!
Tafuta hela, Acha kukaa na masikini, be positive. I assure you, utaacha kulalamikia mfumo
 

Mtu anakuja na mada zake sijuwi mambo ya Prussian tf!!! Watu wamesoma kwenye system hiyo hiyo na wakafanya mambo makubwa kuliko wewe unayefanya kazi kuponda system na hakuna kitu umefanya, hizi mimi naitaga kutafuta scapegoat.
Mention them so that we be sure that you are not talking about ghosts
 
Mention them so that we be sure that you are not talking about ghosts
Mpo wengi siwezi kumention hivyo yoyote aliyewahi kuja na hii falsafa anaingia hapo, mfano wewe apo ni mmoja wapo kwenye hilo kundi
 
Mpo wengi siwezi kumention hivyo yoyote aliyewahi kuja na hii falsafa anaingia hapo, mfano wewe apo ni mmoja wapo kwenye hilo kundi
Yes but sijalipa mamilioni mfumo huu wa Prussian Education System kama unaotolewa na NECTA ( Kayumba and Ems) haustahili kulipiwa hata senti 5.
 
Yes but sijalipa mamilioni mfumo huu wa Prussian Education System kama unaotolewa na NECTA ( Kayumba and Ems) haustahili kulipiwa hata senti 5.
Hoja dhaifu sana hii! Kama ni hivyo kwanini upige nyumba plasta? Kwanini uweke rangi ?? Kwanini utie tiles??? Kwanini uweke gypsum board badala ya ceiling boards?
Acha rough floor, usipige plasta wala rangi. Kwanini ugharamie vyote hivyo wakati mwenzako hajafanya hata hivyo na anaishi vizuri????. Kinacholimit vyote hivi ni pesa yako bro, kama huna uwezo acha wenye uwezo wafanye usianze kubeza
 
nahisi wew ni mwalimu au mlinzi au mhasibu wa shule fulani ya EM.
 
Kikubwa wamalize chuo
 
Huna hoja mkuu.

Nikanunue kiswaswadu Kwa shilingi laki 5 Kwa sababu kwenye akaunti yangu nina bilioni moja?

Nikihoji kwanini nilipe laki5 kununua kiswaswadu maana Yake ni kwamba sina hela?

Ndio point yako mkuu
 
Huna hoja mkuu.

Nikanunue kiswaswadu Kwa shilingi laki 5 Kwa sababu kwenye akaunti yangu nina bilioni moja?

Nikihoji kwanini nilipe laki5 kununua kiswaswadu maana Yake ni kwamba sina hela?

Ndio point yako mkuu
Mfano wako ungemake sense kama post ingesema kuna watu wanasoma shule za Kayumba na wanalipa 5 Millions halafu eti na Mimi ningesema Yes walipe kwasababu wanahela.
 
kwani walikuomba uwalipie ada mbona unalazimisha sana?
wewe pambana na hali yako waachae wenyewe wapambane na hali zao.
🤣🤣🤣🤣

Yani huwa anateseekaa... Kama tunasaidiana ada .
 
🤣🤣
Ego ni adui kweli na anakutafuna. Worse enough unawanyia watoto wako...

Rubbishh
 
Ishu ni kuwa mtt alipiwe ada Ila na elimu yake basi iwe tofauti kidogo yaani results ziwe za tofauti, walimuona Wenyewe ni WA ze ndio wanaomfundisha basi hata wangekuwa wazungu like finish teachers are best, ama mpeleke zile Nordic Schools pale masaki, Tanganyika school international mie nilipenda mwanangu asome hizo shule akutane na experience tofauti tofauti ili pia exposure ya mambele, watt wanatiliwa talanta zao Kama michezo,kuimba. Mie nilipenda mwanangu asome hapo Sina uwezo adi dakika hii kumlipia , Ila namlipia kufundishwa mchezo aka sports Kila siku 10k hapa isamilo international school, anaenda kwa wiki mara nne na Kila siku alfu kumi.

Kuna mdau akasema kuwa alipie kisaswadu laki tano kisa anayo bilioni moja kwa akaunti yake, wakati kisaswadu unakipata kwa 30-50k ni ujinga kujidhania kuwa u Bora kulipia iyo laki tano kuliko huyu aliyelipa 30k.
Wakati outcome ni the same or the same product.
Kama vuta apple phone nitajua kweli unayo phone ya maana Sasa/peleka mtt shule kwa mfumo wa Cambridge. Ila sio huu mtaala wa necta wa kufuata notice na kuzikariri kuwekwa kwenye basi, mara unalipia laki tano mahafali mara tour unalipia laki mbili na kwa lazima, mara msiba unaambiwa alfu hamsini unabakia kulia kulia, yaani unatumiwa kiisa ujinga wako, mie nimesoma kayumba, Kuna muda nishawahi fundisha hizo kayumba Kama miezi minne ivi hata hao watt niliwadharau.
Hawana la ziada yaani ni Ile tu EGO ya mzazi inakuwa masajedi basi anajiona Yu Bora zaidi ya mwenzake, twisheni wanabakia wanasoma kwa lazima, watu wanaumia kulipa ada kubwa ili tu basi na yeye Yuko juu Ila nakuambia hakuna kitu, mwanao atapata bachelor education atakuja kulipwa laki sita Kama wa kayumba tu.



Shule bana Kama unataka mwanao basi mbadilishe basi kabisa exposure ya mazingira ayapate mazuri, asomee hata nje,Ila sio hapa hapa anaongeleshwa na kulishwa mindset hizi za akina ze , yu nowo, I sinki, mpeleke hata Ghana, saizi Africa, India, angalau mtt atapata exposure tofauti
 
🤣🤣
Ego ni adui kweli na anakutafuna. Worse enough unawanyia watoto wako...

Rubbishh
Huwezi elewa ndio mana unakimbilia cheap conclusion Mana our mind don't think but only judge.
We need to build strong muscle discipline, mind is like physical the more you use it the the more it become stronger,
I need my kids to be strong disciplinary to do same thing over and over again.
Wawe wakakamavu, yaani ikiwekezekana asubuhi wanakimbia like 5km everyday, wajue kazi zote , wasiwe lelemama aka spoon feeder, they must be able to hunt for themselves, sio wawe dependant kuwindiwa ndio wapewe nyama wale.
Kuna mtu anaweza akajisomea kitu akakielewa mwenyewe anasachi through various resources mpaka wanafanikisha. That's the kind of kid I need , sio kuwa lazima Kila watu wafundishwe
 
Shida yako ni kwamba umesoma kayumba ndio maana hata Mawazo yako yamekaa kikayumbakayumba na hayo ndio matunda ya kayumba na ccm hawakulifanya hilo Kwa bahati mbaya wamefanya kusudi Ili waendelee kukutawaleni nyinyi na watoto

Weka ushahidi hapa kama Kuna mtoto wa waziri yoyote unayemjua anasoma kayumba

Hata huyo waziri wa Elimu mtoto wake anasoma EM

Broo wewe huna hela Cha msingi tafuta hela
 
Walimu tu wa shule za St. Kayumbaz hukuti watoto wao huko, kila mtu akomae kuhakikisha mazingira ya mtoto wake yanakaa vizuri, kwa namna anavyoona inafaa.

Kuna mzazi hakutaka kupeleka watoto wake shule kwa sababu aliona elimu inayotolewa haiendani na mazingira ambayo anatamani mtoto wake awe wakati wewe unakomalia watoto waende hata hizo st. Kayumbaz

Wabunge na mawazili hukuti watoto wao st. kayumbaz hata hao wasimamizi wa elimu ambao wanazopitia chapuo hukuti watoto wao huko, hizo shule zimeitwa za Wanyonge, sasa ukikubali kuwa mnyonge chaguo ni lako tu. Cha msingi mtoto apate Elimu
 
Mfano wako ungemake sense kama post ingesema kuna watu wanasoma shule za Kayumba na wanalipa 5 Millions na Mimi ningesema Yes walipe kwasababu wanahela.
Si hao wanao somesha kayumba za kiingereza ( ems)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…