Ukifanya Hivi Mwanamke Ataona Maisha Yake Ni Rahisi Akiwa Nawe, Atataka Kuwa Nawe Kila Muda

Fanya mazungumzo yenu yawe rahisi.
Fanya mnapokuwa pamoja iwe rahisi kwako na kwake.
Fanya ajihisi maisha yake ni rahisi akiwa na wewe. Simaanishi kifedha. Bali kihisia kwa kujiachia na kutokua mkoloni bila sababu.

Mwanamke akiona ni rahisi kuwa nawe atakua na furaha akiwa nawe. Na ataona chanzo cha kupata furaha ni kwako. Kwaiyo sehemu atakayokua anataka kuwa ni kwako pamoja na wewe.

Kuwa na misimamo na mipaka ni muhimu. Lakini isikufanye ushindwe kujiachia na kufurahi na mwanamke uliyenaye. Ukiona mipaka na misimamo yako haizingatiwi heri ubadili mwanamke wa kuwa naye.

Ukifanya maisha yenu yawe rahisi, mnakua mnaelewana kirahisi.
Mnakua kama vile mlijuana hata kabla hamjazaliwa.
Na penzi utalifurahia.

Ili kumfanya aone maisha na wewe ni rahisi mfanye ajiachie kwako kwa kuwa we mwenyewe umejiachia, kujua anachokitaka kihisia na kumpatia.
Pia kutumia akili ya kawaida kujua wapi umuongoze wapi umuache na mambo yake (kumpa uhuru binafsi).

Bila ye kujihisi uhuru kwako, ataona kafungwa kwako na ataanza kufanya maisha yenu yasiwe rahisi ili muachane akatafute uhuru wake.

Ukitaka kujua haumpi urahisi kuwa na wewe utaona dalili hizi,
  • Utakua unaogopa atakufikiriaje mana unajua kidogo tu anafura.
  • Atakua anakusema ovyo na kukufanya uombe ombe msamaha.
  • Penzi anakunyima/ anakupa ukiomba sana kwa masharti.
  • Anakasirika haraka na mna ugomvi mara kwa mara.
  • Hakuambii vitu/ anakuficha ficha na kununa.
  • Ataanza kukupotezea na kujitoa kwako.
  • Atakuambia hana hisia na wewe skuizi.
  • Ana sababu nyingi kwanini msikutane.
  • Hataki muongelee mahusiano yenu.
  • Unajikuta unaogopa kumkosea.
  • Utaona haeleweki.

Mara nyingi inatokana kwamba we mwenyewe hujajiachia. Kumwambia vitu visivyoeleweka. Una maswali mengi. Mkali kupitiliza. Una wivu sana. Umemweka mwanamke juu na unamtaka kama vile ndo uhai wako. Unamfukuzia kupita maelezo. Unakua unamfatilia sana mwanamke.

Ukiona unamfatilia sana mwanamke ujue umemuweka kama kipaumbele chako, na utakua umemweka juu yako.
Kufuatilia pia kuna mipaka sio umfuatilie kila kitu chake hasa kama ndo mnaanza mahusiano.

Tumia tu akili ya kawaida kujua kwamba naye ana uhuru wake binafsi.
Hajafungwa na wewe kwa kila kitu.
Ukimfuatilia sana hatojisikia amani, uhuru au kujiachia kwako. Na ataona maisha na wewe ni kama vile utumwa. Maisha hayatakua rahisi.

Kama ndo mnaanza mahusiano usimwingilie sana kwenye vitu vyake.
Kama mna mahusiano yanayokufurahisha mpe uhuru wenye mipaka.

Nikutakie Siku Njema Na Ujiachie Ufurahie Siku.

Usisahau Kujiunga Telegram Channel Ya Infinite Kiumeni

infinite kiumeni
Achana na Drama za Kifilipino, zinakupoteza sana
 
usijidanganye ivi viumbe havinaga formula Biggie.
 
Hakuna kitu kitakupotezea muda na mali kama kutaka kumfurahisha mwanamke. Don't work too hard to please a woman, you gonna perish. Hata hivyo, mqmbo unayoyazungumzia kama huna hela utaonekana kichwa chako na matako havina mawasiliano mazuri. Tafuta hela bro, mwanamke anataka ahudumie na kufanyiwa surprise ambazo kama huna hela hamtoboi. Tafuta hela. Period
Safi sana. Well said
 
Wana saikolojia ya mapenzi wanasema, hakuna formula iliyo sahihi ya kuishi na mwanamke ukajigammba kuwa umemuwezea, hata ukiwa umesoma hadi Harvard na kuwa profesa. Sasa sijajua wewe mwenzetu hii formula yako umeitoa kitabu gani
 
Hakuna kitu kitakupotezea muda na mali kama kutaka kumfurahisha mwanamke. Don't work too hard to please a woman, you gonna perish. Hata hivyo, mqmbo unayoyazungumzia kama huna hela utaonekana kichwa chako na matako havina mawasiliano mazuri. Tafuta hela bro, mwanamke anataka ahudumie na kufanyiwa surprise ambazo kama huna hela hamtoboi. Tafuta hela. Period
In addition...USITAFUTE HELA KWASABABU YA MWANAMKE.
tafuta kwakua ni wewe unazihitaji.hata kama utampa mwanamke , utampa kwasababu unataka kuzitumia hela zako kujipatia kitu unataka toka kwake..TAFUTA PESA KWA AJILI YA MATUMIZI YAKO
 
Kama unaelewa English soma hapo.
Screenshot_20230221_121223.jpg
 
Sure. Tumefikia hatua eti mwanamke na yeye anaingia mitandaoni na kuandika vigezo vya mume anayemuhitaji. Na wajinga wanaenda inbox kumuomba wamkubalie! Badala mwanamke ambembeleze, yeye ndiye wa kubembelezwa wakati bado atahitaji kuhudumiwa Kama mgonjwa.
Na hapo ameshaliwa hata utamu umeisha. Ziwa limeshikwa shikwa limenyonywa na midomo ya mabandidu, mdomo umenyonyeshwa dudu mbali mbali, huko chini kila mtu kamwagia shahawa zake na kuacha nuksi zake.

Mimi nije kuweka mtoto wangu humo ili azaliwe na amuite mama mwanamke wa namna hiyo.

Aiseee guys we can do better. Hebu tuwatendee haki mabinti wanaojitunza maana hao ndio wanastahili heshima ya mke. Kitendo cha mwanaume mwenye uwezo wa kuweka mke ndani na kuhudumia kujiamulia kulala na mwanamke aliyechagua kuwa kahaba wa mjini then tukawaacha mabinti ambao wamejitunza kwa kufuata maandiko hii dhambi itatutafuna na vizazi vyetu.

Imagine kuna binti anapiga goti saa hii ana miaka 24 ana hofu ya kuingia dhambini na anamlilia MUNGU apate mwanaume wake wa ndoa wajenge familia bora ya baba mama na watoto kwa mujibu wa vitabu vitakatifu.

Ila wewe upo busy unapuyanga na mahusiano na hawa wadangaji wa mjini ambao wameshafanya kila matukio na upo inbox kubebembeleza penzi na ndoa na kumpa heshima ya Malkia. Walah nakwambia utapata shida sana na laana maana unamnyima haki binti mwenye stara tena mstaarabu unamvika taji shitwani sababu ana maumbile ya kukivutia kingono.

Hebu tuwaheshimishe na kuwasitiri wanawake wenye kujiheshimu na kutunza miili yao. Hata kama hawana matako makubwa sana na shape lakini tabia zao zinatosha. Kwani lazima wavae vimini, nani anataka mkewe avae nguo za mitego ndipo awe mzuri?

Hebu tuwapende hawa wenye maadili tujenge jamii bora hawa waliochaguwa kuwa washenzi tuishi nao kingono kisha tuwatelekeze njia panda.
 
Hivi unafahamu kwamba hata hao 'mabandidu' nao wanalalamika kuwa wanawake wengi wa siku hizi hawajitunzi ni malaya hivyo nao wanataka kuoa vigori

Anyway mimi nilifikiri hao wasiojitunza mtakaa nao mbali kabisa na kutulia na hao wanaojiheshimu kumbe hata hao malaya nao mnataka muishi nao kingono bado

Sasa hamuoni kama nanyi mnaingia kwenye list ya hao 'mabandidu' ambao wanawachezea hao wanawake halafu baadaye wanawatukana na kukataa kuwaoa
 
Na hapo ameshaliwa hata utamu umeisha. Ziwa limeshikwa shikwa limenyonywa na midomo ya mabandidu, mdomo umenyonyeshwa dudu mbali mbali, huko chini kila mtu kamwagia shahawa zake na kuacha nuksi zake.

Mimi nije kuweka mtoto wangu humo ili azaliwe na amuite mama mwanamke wa namna hiyo.

Aiseee guys we can do better. Hebu tuwatendee haki mabinti wanaojitunza maana hao ndio wanastahili heshima ya mke. Kitendo cha mwanaume mwenye uwezo wa kuweka mke ndani na kuhudumia kujiamulia kulala na mwanamke aliyechagua kuwa kahaba wa mjini then tukawaacha mabinti ambao wamejitunza kwa kufuata maandiko hii dhambi itatutafuna na vizazi vyetu.

Imagine kuna binti anapiga goti saa hii ana miaka 24 ana hofu ya kuingia dhambini na anamlilia MUNGU apate mwanaume wake wa ndoa wajenge familia bora ya baba mama na watoto kwa mujibu wa vitabu vitakatifu.

Ila wewe upo busy unapuyanga na mahusiano na hawa wadangaji wa mjini ambao wameshafanya kila matukio na upo inbox kubebembeleza penzi na ndoa na kumpa heshima ya Malkia. Walah nakwambia utapata shida sana na laana maana unamnyima haki binti mwenye stara tena mstaarabu unamvika taji shitwani sababu ana maumbile ya kukivutia kingono.

Hebu tuwaheshimishe na kuwasitiri wanawake wenye kujiheshimu na kutunza miili yao. Hata kama hawana matako makubwa sana na shape lakini tabia zao zinatosha. Kwani lazima wavae vimini, nani anataka mkewe avae nguo za mitego ndipo awe mzuri?

Hebu tuwapende hawa wenye maadili tujenge jamii bora hawa waliochaguwa kuwa washenzi tuishi nao kingono kisha tuwatelekeze njia panda.
I am very delighted to see how well you are to represent the whole agenda as agreed during our last men's conference. Well done sir
 
Back
Top Bottom