Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,955
Leo nawavunjia mayai viza mnaojiita wanaume huku mnazaa watoto na kuwaachia wanawake majukumu ya kulea. Kama unafanya hivi jua kuwa hata kuwa mwanamke hustahili maana wanawake wengi hulea watoto wao.
Mwingine aliweka mimba hajui mtoto wake yuko wapi, anaishi vipi, yuko hai au marehemu hajui. Mwingine damu yake anaikataa, huyo hana utofauti na ibilisi ambaye hajawahi kukataa kundi lake.
Mwingine aliweka mimba hajui mtoto wake yuko wapi, anaishi vipi, yuko hai au marehemu hajui. Mwingine damu yake anaikataa, huyo hana utofauti na ibilisi ambaye hajawahi kukataa kundi lake.