Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,955
Ushatiwa mimba tayari wewe!![emoji3][emoji3]Leo nawavunjia mayai viza mnaojiita wanaume huku mnazaa watoto na kuwaachia wanawake majukumu ya kulea. Kama unafanya hivi jua kuwa hata kuwa mwanamke hustahili maana wanawake wengi hulea watoto wao.
Mwingine aliweka mimba hajui mtoto wake yuko wapi, anaishi vipi, yuko hai au marehemu hajui. Mwingine damu yake anaikataa, huyo hana utofauti na ibilisi ambaye hajawahi kukataa kundi lake.
Jamani mbona huyo kaja na uzi kuntu vipi tena mkuu
Chizi wewe unataka nikuinamishe ndio ujue mimi ni rijali eehh?.
Unataka nikuinamishe ndio ujue mimi ni konki eehh!!!pole sana, mwanao ana umri gani ?
Watu wa namna hiyo nchi za wenzetu wanatiwa gerezani. Nadhani ni muda sasa Tz izitazame sheria za child support. Vijana wamekua wa hovyo sana sheria pekee ndio itaweza kuwanyoosha.Leo nawavunjia mayai viza mnaojiita wanaume huku mnazaa watoto na kuwaachia wanawake majukumu ya kulea. Kama unafanya hivi jua kuwa hata kuwa mwanamke hustahili maana wanawake wengi hulea watoto wao.
Mwingine aliweka mimba hajui mtoto wake yuko wapi, anaishi vipi, yuko hai au marehemu hajui. Mwingine damu yake anaikataa, huyo hana utofauti na ibilisi ambaye hajawahi kukataa kundi lake.
Povu ya nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeleta uzi acha watu wajibu wanavojua.... Weka tu stress pembeni tukukamue.Unataka nikuinamishe ndio ujue mimi ni konki eehh!!!
Kama huna hela ya kumlea mtoto usiwasumbue mabinti
Mbona povu mkuu!? [emoji1],, Au alitumia condom? ..Chizi wewe unataka nikuinamishe ndio ujue mimi ni rijali eehh?.
Kama unajua unalishwa usifanye mapenzi au tumia kondom