Hiyo itakua Malaika sio kunguru zetu hapa bongo.1.usafi
2.nidham adabu
3.matumiz mazur ya pesa
4.jukumu lako la kwanza kumridhisha mume kwanza
5.upendo kwa ndugu wa mume
6.zawad kwa mume siku moja moja
7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume mpe uhuru
8.uchapakaz
9.kuomba ruhusa kila unapotoka au kufanya jambo fulan
10.ujue kupika
Hapa neno haki Sawa na mwanamke anaweza yasitumike?1.usafi
2.nidham adabu
3.matumiz mazur ya pesa
4.jukumu lako la kwanza kumridhisha mume kwanza
5.upendo kwa ndugu wa mume
6.zawad kwa mume siku moja moja
7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume mpe uhuru
8.uchapakaz
9.kuomba ruhusa kila unapotoka au kufanya jambo fulan
10.ujue kupika
Hakuna formula ila kuna muongozo hata kwenye mpira mbakubaliana vizur leo tunacheza 4.4.2 ila mbajikuta mnapelekewa moto mpaka mnacheza 7.2 .1 dakika tisini zoteHamna formula kwenye ndoa! Watu wakishakaa wawili ndo wanajua wanaishije na ndoa yao inasurvive kwa vigezo gani. Ndoa haina kukalili kijana unaweza kufanya yote hayo na usitoboe bado
Jidanganye ndoa haina fomula1.usafi
2.nidham adabu
3.matumiz mazur ya pesa
4.jukumu lako la kwanza kumridhisha mume kwanza
5.upendo kwa ndugu wa mume
6.zawad kwa mume siku moja moja
7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume mpe uhuru
8.uchapakaz
9.kuomba ruhusa kila unapotoka au kufanya jambo fulan
10.ujue kupika
Mwaka wa kumi huuUmeoa
unazungumzia ndoa za miaka 80-95 au hawa wa 96 to 2000's kizazi cha kidigitali1.usafi
2.nidham adabu
3.matumiz mazur ya pesa
4.jukumu lako la kwanza kumridhisha mume kwanza
5.upendo kwa ndugu wa mume
6.zawad kwa mume siku moja moja
7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume mpe uhuru
8.uchapakaz
9.kuomba ruhusa kila unapotoka au kufanya jambo fulan
10.ujue kupika
Hizi ni basics......Single mazas watapinga1.usafi