Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Sema No 7 wanawake mjitahidi muwe nayo...msiwe kama Polisi kupelelezana na kufuatiliana kila nukta sio mpango.1.usafi
2.nidham adabu
3.matumiz mazur ya pesa
4.jukumu lako la kwanza kumridhisha mume kwanza
5.upendo kwa ndugu wa mume
6.zawad kwa mume siku moja moja
7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume mpe uhuru
8.uchapakaz
9.kuomba ruhusa kila unapotoka au kufanya jambo fulan
10.ujue kupika
Kuna jamaa Mke wake anaangalia History kwenye browser kuwa mwamba ana search nn sana mtandaoni