Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Sema No 7 wanawake mjitahidi muwe nayo...msiwe kama Polisi kupelelezana na kufuatiliana kila nukta sio mpango.1.usafi
2.nidham adabu
3.matumiz mazur ya pesa
4.jukumu lako la kwanza kumridhisha mume kwanza
5.upendo kwa ndugu wa mume
6.zawad kwa mume siku moja moja
7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume mpe uhuru
8.uchapakaz
9.kuomba ruhusa kila unapotoka au kufanya jambo fulan
10.ujue kupika
Hahahahahaaaa,wanawake wa hv mwsho wa siku mwanaume ndo unatakiwa umkimbie,Ila tu piga chini at your own risk....
mie kwangu siondoki hata iweje yani ni "kwa mkapa hatoki mtu"
Hata akitupa begi langu nje napanda juu ya geti narudi ndani....ntavaa mashati na boxa zake
Akikimbia nikijua aliko namfata.....Hahahahahaaaa,wanawake wa hv mwsho wa siku mwanaume ndo unatakiwa umkimbie,
Hapa n kwenye keyboard utakuta huko home ww ndio unaililia(mtazamo wangu)Sitaki kuliwa nimechoka, niliwe duniani nkaliwe na mbinguni....sitaki
DuhEdit hizo mimi wa kuandika upuuzi kama huu
Wanajua tu kupanda juu ya meza wavuvi kempKupata wadizaini hio sikuhizi ni kipengele