Ukifika Mabibo sokoni ndo utajua kwanini watu hawataki kuachia office

safi kunawatu wanajua kuona fursa,kuosha miguu bei gani hapo
 
Mmmmmmm! Mungu apishirie mbali! Mwaka huu sijasikia sana ule ugonjwa wetu wa Kipindupindi Dsm. na kama kikilipuka mwaka huu kitakuwa na madhara makubwa kuliko miaka iliyopita.
 
hapo wasipotoa kutajaa mgambo na biashara haitofanyika.
 
yaani mimi nilikuwa hapo j3 jion naangalia fursa maana hilo soko ni full pesa na linavurugu mwanzo mwisho mvua ikinyesha utajuuta uwii
 
Msijali mkuu wa Mkoa wa dar atalifanyia kazi suala hilo

Ova
 
bora mkuu wa mkoa umepaona hapa maama in shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…