ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
hahhaaaaaaaaaaaaaaaa aiseee hayaTupo huku busy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahhaaaaaaaaaaaaaaaa aiseee hayaTupo huku busy
Asante kwa picha, Mimi nimeshindwa kuaupload, japo nilizipiga kwa uogauoga
safi kunawatu wanajua kuona fursa,kuosha miguu bei gani hapoWanajamvi,
Mimi binafsi napenda sana biashara kitu ambacho kimenifanya niwe mfuatiliaji wa mambo mbalimbali yahusuyo biashara. Nilichikiona Leo pale Mabibo soko la matunda miundo mbinu ya pale inasikitisha.
Ushawahi kuona soko lenye tope na watu wakitembea peku wakivuruga hilo tope na business zinaendelea kama kawa noti zinahesabiwa kwa wingi kama bank. Alafu ukitoka pale nje kuna biashara ya kuosha miguu mh! Dar es Salaam jamani.
Sijui ushuru unatumika kufanya kazi gani pale ni hatari sana kwa afya za watu.Nilichojifunza ni kwamba hakuna kazi rahisi hapa kwa dunia.
Karibu mjionee hasa msimu huu wa mvua, ila kule upande wa viazi ni kusafi. Naamini hawa wafanyabiashara wangeamua badala ya kutoa ushuru watengeneza miundombinu wakijichanga buku5 daily nahisi in 2 yrs pangependeza sana kama Manispaa imeshindwa kuboresha miundombinu.
Hatari kwa afya, ni bora kungekuwa hata na glovesAsante kwa msaada was picha za kwangu nimishindwa kuaupload nilizopiga kipaparazi

hapo wasipotoa kutajaa mgambo na biashara haitofanyika.Wanajamvi,
Mimi binafsi napenda sana biashara kitu ambacho kimenifanya niwe mfuatiliaji wa mambo mbalimbali yahusuyo biashara. Nilichikiona Leo pale Mabibo soko la matunda miundo mbinu ya pale inasikitisha.
Ushawahi kuona soko lenye tope na watu wakitembea peku wakivuruga hilo tope na business zinaendelea kama kawa noti zinahesabiwa kwa wingi kama bank. Alafu ukitoka pale nje kuna biashara ya kuosha miguu mh! Dar es Salaam jamani.
Sijui ushuru unatumika kufanya kazi gani pale ni hatari sana kwa afya za watu.Nilichojifunza ni kwamba hakuna kazi rahisi hapa kwa dunia.
Karibu mjionee hasa msimu huu wa mvua, ila kule upande wa viazi ni kusafi. Naamini hawa wafanyabiashara wangeamua badala ya kutoa ushuru watengeneza miundombinu wakijichanga buku5 daily nahisi in 2 yrs pangependeza sana kama Manispaa imeshindwa kuboresha miundombinu.
yaani mimi nilikuwa hapo j3 jion naangalia fursa maana hilo soko ni full pesa na linavurugu mwanzo mwisho mvua ikinyesha utajuuta uwiiWanajamvi,
Mimi binafsi napenda sana biashara kitu ambacho kimenifanya niwe mfuatiliaji wa mambo mbalimbali yahusuyo biashara. Nilichikiona Leo pale Mabibo soko la matunda miundo mbinu ya pale inasikitisha.
Ushawahi kuona soko lenye tope na watu wakitembea peku wakivuruga hilo tope na business zinaendelea kama kawa noti zinahesabiwa kwa wingi kama bank. Alafu ukitoka pale nje kuna biashara ya kuosha miguu mh! Dar es Salaam jamani.
Sijui ushuru unatumika kufanya kazi gani pale ni hatari sana kwa afya za watu.Nilichojifunza ni kwamba hakuna kazi rahisi hapa kwa dunia.
Karibu mjionee hasa msimu huu wa mvua, ila kule upande wa viazi ni kusafi. Naamini hawa wafanyabiashara wangeamua badala ya kutoa ushuru watengeneza miundombinu wakijichanga buku5 daily nahisi in 2 yrs pangependeza sana kama Manispaa imeshindwa kuboresha miundombinu.
pamoja mkuu, JF sehemu muafaka ya kushea info.Asante kwa msaada was picha za kwangu nimishindwa kuaupload nilizopiga kipaparazi
hahaaaaaaaaa,mzee wa mafisa wa mikakati hapajui hapa ee?
![]()
Sh100 kuosha miguuBeigani huduma
100 Tshssafi kunawatu wanajua kuona fursa,kuosha miguu bei gani hapo
Kama alipita hapa vile...Msijali mkuu wa Mkoa wa dar atalifanyia kazi suala hilo
Ova